donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Uanaume ndo kula mawe asubuhi asubuhi?Wanaume tunazidi kupungua inabidi tuitishe kikao cha dharura nilitegemea kuona dona hapo na Sangara au sato mkubwa sana
Hapo sasa halafu mtu hajui kama hata ukila pipa la ugali, mwili utachukua only required amount of nutrients. Mtu kama huyu hata ukimwelewesha kuhusu food suppliments hawezi kukuelewA asilaniUanaume ndo kula mawe asubuhi asubuhi?
Elimu ya lishe ni sifuri.
Haina noma baharia wa kwa rajuBaharia wa kino huyo.
Kungekuwa hata na kamuogo, viazi ama gimbi ingependeza zaid
hicho kitabu hapo ni balaa nimewahi kukisoma mda kidogo
[emoji23][emoji23]DaahHapo kama ukila demu unapizi povu tu shubameet
Kweli aisee.Wanaume tunazidi kupungua inabidi tuitishe kikao cha dharura nilitegemea kuona dona hapo na Sangara au sato mkubwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kama ukila demu unapizi povu tu shubameet
Alafu usiku wa kilala wanasema wachawi wananikaba kumbe chakula anachojishindiliaHapo sasa halafu mtu hajui kama hata ukila pipa la ugali, mwili utachukua only required amount of nutrients. Mtu kama huyu hata ukimwelewesha kuhusu food suppliments hawezi kukuelewA asilani
Wanaume tunazidi kupungua inabidi tuitishe kikao cha dharura nilitegemea kuona dona hapo na Sangara au sato mkubwa sana
Kabisa mkuuAlafu usiku wa kilala wanasema wachawi wananikaba kumbe chakula anachojishindilia
Asubuhi ugali kbla ya kulala ugali
Ova
Mkuu Wanaume hatuli ivo sasa apo unaweza piga ata vitatu kweli kwa ujinga huo unaokula na dada zako waleje sasaHapo sasa halafu mtu hajui kama hata ukila pipa la ugali, mwili utachukua only required amount of nutrients. Mtu kama huyu hata ukimwelewesha kuhusu food suppliments hawezi kukuelewA asilani