Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
haki sawa kwa woteHaki sawa
kwa kweli hapo haitajiki refaree kila kitu kinaamuliwa na mzani kwa hiyo uamuzi juu yako ujaze nyama au ujaze wali??ha ha ha ha ha ha ha ha kazi ipo
kwa kweli hapo haitajiki refaree kila kitu kinaamuliwa na mzani kwa hiyo uamuzi juu yako ujaze nyama au ujaze wali??
baba yangu kwa nini kumsakama hivi jamani ..... baba utafiti i love u so much hata waseme nini your still ma baba mzuri
ii still love him aisee.....baba yako utafiti ni majanga mpaka Mndengereko na Ntuzu wanamjua nashangaa Mokoyo hajajua babamkwe wake yukoje
kweli maisha ya gheto shida,sasa kwa style hiyo mwanae miss chagga akienda kumtembelea inakuwaje???utafiti anatisha mkuu ni balaa yaani mpaka soda anapima kwakijiko kupata sawa sawa
hahah baba yako anaishi gheto??? kwani lazima uwe nae siuopt mwingine mbona mababa wako wengi sana humu ndani
cc: Mr Rocky
kweli maisha ya gheto shida,sasa kwa style hiyo mwanae miss chagga akienda kumtembelea inakuwaje???