Gharama za Umalaya..

Kweli wanaume wote wa jf umeona wanafanana na hayo aliyoyasema mtoa uz?
Kweli hakuna mwanaume hata mmoja ambae huwa unamwona n mtu mstaarabu angalau hata kwa kuangalia comments zake? Umetudhalilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii comment yangu mbona mnaielewa tofauti kaka zangu? Ujumbe umekuja Jf na umewalenga has a jinsia yenu, kuwacc sijamaanisha nyie ni Malaya, naomba nisieleweke hivyo nimewaita ninyi mje mchukue ujumbe wenu ikibidi mchukue tahadhari. Wanaume huku wastaarabu wapo wengi tu akiwemo shemeji yako🙈🙈
 
Hahahahaaaa kumbe nae yuko huku bas sawa umeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…