Baki na hamu zako...Nimekuta hiii tahadhari twetter
" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni gharama na anguko lake linaweza kukupeleka kwenye umaskini wa kutupwa.
Hasa kwa wanaume..!
Shtuka umalaya ni gharama.!
Wakristo wanajua Biblia inasema midomo ya malaya ni laini kama mafuta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hapana mkuu nataka waupate ujumbe tu wajihadhari hawa kaka zangu
OohDuuh hapana mkuu nataka waupate ujumbe tu wajihadhari hawa kaka zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
mbwembwe nyingi mbele zawatu mnaishia kulana wenyewe kwa wenyewe wapendwaNimekuta hiii tahadhari twetter
" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni gharama na anguko lake linaweza kukupeleka kwenye umaskini wa kutupwa.
Hasa kwa wanaume..!
Shtuka umalaya ni gharama.!
Wakristo wanajua Biblia inasema midomo ya malaya ni laini kama mafuta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutake radhi, kuna mimi nilisha wahi kukutaka?
Isipokuwa wazee wastaafu kama mimi
Kwani shida iko wapi mimi si nawaita mpate ujumbe? Kwani nimesema we malaya?Tutake radhi, kuna mimi nilisha wahi kukuta?
Nyie tena, mnawashwa na pensheniIsipokuwa wazee wastaafu kama mimi
Fanya kazi wewee and mind your own businessNimekuta hiii tahadhari twetter
" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni gharama na anguko lake linaweza kukupeleka kwenye umaskini wa kutupwa.
Hasa kwa wanaume..!
Shtuka umalaya ni gharama.!
Wakristo wanajua Biblia inasema midomo ya malaya ni laini kama mafuta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kwa kikokotoo cha zamani
Mkuu nakubaliana na wewe Asilimia mia zote.Nimekuta hiii tahadhari twetter