Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?
Address afisa uhamiaji wa hapo ulipoapply.. Eg afisa uhamiaji Dodoma anuani waulize anuani yao
 
kinachonishangaza barua ya waliko wanataka tiketi ya kwenda na kurudi ndio wakupe passport hiv kwa akili ntaweza kukata tiketi bila visa na naweza kupata visa bila passport ?

2. safar za kimasomo wanataka admission kwanza sasa jiulize utapata vipi admissionn bila passport namba ili wahakiki wewe ndio huyo, validity etc dah najiuliza sana hapa
Ticket unaweza kukata bila visa siyo lazima uwe na visa ndo ukate ticket, ika ukiwa na barua ya mwaliko hiyo powa
 
Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?
Barua ya kuomba una iadress kwa kamishna mkuu
Idara ya uhamiaji
box 512 Dar es salaam
 
wabongo inabidi wabadilike .................inabidi shughuli kama hiyo ichukue dakika 45 tu we dont need paper work anymore...........wahusika kama mpo nitafuteni niwatengenezee online pasport application system... yaani mtu hata kama yuko mwakaleli apate huduma sawa kabisa na mtu aliyeko dar at the real time
 
Mkuu hali ya kawaida unaijua wewe na hali yako. Wao wako kazini na hivyo vyeti ni mojawapo na viambatanishi vya wewe kupata hiyo pasipoti. Sasa wewe ifanye hii siasa.
Ni cheti cha baba au mama, na copy ya passport kama ipo,
Cheti cha muombaji.

Form inahitaji watu wa5 kujaza akiwemo muhusika wa6.
Wawili mashahidi na 3 wadhamini, hii sio big issue.

Picha 8 passport size kama sikosei au 5

Issues ipo kwenye cheti cha wazazi, kati ya hawa kama hawana passport au hawajawahi kuomba ni mtihani, u naweza kuambiwa file yako haonekani, mpaka u toe kifuta jasho process itaenda quick.
 
Thanks bro
 
Mkuu huijui hii Tz, kweli gharama yake ni 50,000,lakini huo mzunguko wake, utaamua kutafuta shortcuts tu, ambayo ndio gharama za ziada zinatumika. We wanakuambia uende kijijini alikozaliwa baba yako, atafute mtu aliyeshuhudia baba yako akizaliwa?!!!! mi nilichoka, ndio nikajiongeza siku 3 tu nikaipata. we unafikiria mtu anakwambia nimetumia laki 3,kupata passport anatania?? labda kama unaumwa hivyo unahitaji kwenda kutibiwa nje, ndio wanaweza kukuonea huruma, ila lazima upigwe nyundo hata buku 20 ya maji. ukiwa na pesa yako hata ndani ya masaa 2 unaipata tu.
Walinipiga dola 100 sina hamu
 
Kwa nini passport Tanzania inavikwazo sana ? Siku hizi lazima uoneshe ushahidi unaitaka kwa haja gani. .!
 
Back
Top Bottom