Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

Pole sana. Watakua walikuona una sura ya hela! Katika vitu rahisi sana kupata nchi hii ni hati ya kusafiria.

Kuhusu affidavit ya baba yako...ndugu yako aliyemzidi umri baba yako angeenda kuijaza mara moja. Haichukui hata dakika thelathini.
Ni mpaka aje pale ofisini ili kujaza hiyo affidavit? Au unawwza mchukulia akajaza hata nyumbani then ukai submit ofcn kwao?
 
Mbona kuna mtu kaniambia anahitajima pia mdhamini na mdhamini huyo nae awe na passport? Hili limekaa vipi kiongozi?
 
Kulipa laki na nusu ni kujitakia mwenyewe.

Watu wanapata pasipoti zao ndani ya siku 3-5 kwa malipo ya sh elfu hamsini tu. Tena bila kumfahamu mtu yeyote yule hapo uhamiaji.
ni sawa bt kwa vimemo
 
Kuna jamaa wa uhamiaji nimeongea nae now anasema passport sasa hivi ni issue kidogo coz demand ni kubwa kuliko uwezo wa machine yao ya kuprint na machine kubwa haijafanyiwa service. Anasema wanapewa kipaumbele wenye matatizo sana hasa hasa ua afya wanaoenda kutibiwa nje
 
kiongozi muongezee na vitu kama stamp duty ambazo zinauzwa TRA. Sasa hapo ndipo ataona mzunguko pasipoti inatoka uhamiaji stamp duty TRA.
Hahaha usinikumbushe hiyo movie ya stamp.....stamp inauzwa tra 200/= halafu uhamiaji wapo kurasini......nilimtolea macho yule officer mpaka akaniambia nenda hapo nje kuna stationary wanauza hizo stamp buku badala ya 200/= so shauri yako hapo uende tra au ununue hapo nje......issue ya vyeti vya wazazi nilikaza mule ndani wakaniambia kama nina buku 10 kuna advocate mule ndani ana affidavit nikamuone anipe kile cheti cha kuapa mahakamani.......thanks God nilipata hati yangu the next day kwa 50,000/= tu ukiondoa hizo gharama za affidavit na stamp ila ni baada ya kusumbuana sana....imagine mtiti wote huo still nilikua na barua za kuniassist kutoka wizara ya elimu......bongo kweli magumashi!!
 
umeshazoea rushwa wewe
 
Simple

Kwanza siku hizj unaenda kule kurasini
Unachukua form unajaza unaambatanisha vitu muhim kulingana na dhumuni LA safari yako, kama kikazi kuna taratibu nyuma ya form , kama kutembea unatakiwa uweke unamtembelea nan au kama matembezi binafsi onesha unapofikia, ticket ya kwenda na kurudi, bank statements zako na mengine mengi kama ruhusa toka kazin kwako, maana ni hati ya kusafiria , hawaitoi hivi hivi,
 
kinachonishangaza barua ya waliko wanataka tiketi ya kwenda na kurudi ndio wakupe passport hiv kwa akili ntaweza kukata tiketi bila visa na naweza kupata visa bila passport ?

2. safar za kimasomo wanataka admission kwanza sasa jiulize utapata vipi admissionn bila passport namba ili wahakiki wewe ndio huyo, validity etc dah najiuliza sana hapa
 
Hivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?
Vp kuhusu lengo la kwenda huko unakotaka wanakomaa sana au coz nahitaji kuwa nayo bt sina sehemu ya kwenda for nw just nakata kuwa nayo for in case
 
Nimemaliza kujaza fomu za kuomba hati yankusafiria. Nataka niandike barua ya maombi. Ila nimekwama sijui inabidi nii address kwa nani na kwa anuani ipi. Naombeni msaada wenu.
 
Nakumbuka mwaka 2014, nilikua nafukuzia nafasi ya kwenda nje kusoma, kwenye application natakiwa niambatanishe passport, migration wanataka admission letter, ila Mungu mkubwa niliipata ndani ya wiki tatu. Uvumilivu ndo jambo pekee.
 
ImageUploadedByJamiiForums1470419883.427009.jpg
. Haichukui muda week tu ukikamilisha kila kinachotakiwa mimi hapo nilipeleka maombi 28/04/2016 nikaenda tarehe 10/05/2016 nikachukua hati yangu.Sijampa mtu hata mia mbovu zaidi ya ada kama inavoonekana kwenye picha hapo juu!
 
Barua ya maombi ya nini?!
Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?
 
Back
Top Bottom