Gharama za ujenzi tukutane hapa

Gharama za ujenzi tukutane hapa

tofali moja ni 1100
mfuko moja wa sement 13500
mfuko mmoja unaunganisha tofali 60
fundi ujenzi unamlipa 300 kujenga tofali moja

ujenzi ni simple
Mmmh hvyoo kuliko kutumia Kontena haipunguzi gharama yoyote...
 
Kwa mtu anayetaka ghorofa ni bora akafanya hivi.

Nimependa saana hii maana hizo kontena ni futi 40, futi 40 si mchezo aisee urefu wake.
 
Back
Top Bottom