MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 357
habar wa jf hv ndugu zangu dstv wanamatatizo gani gharama zinazidi kupanda sana au wao ndo wanazijua pesa sana kuliko sisi mm nadhani kampuni nyingine ijitokeze watashusha bei wenyewe wana jf hakuna mtu aneshughulikia gharama za uendeshaji ktk gvt yetu hii karibuni kwa michango yenu
Mkuu problem ni jamaa kutumia USD badala ya TZS kwenye malipo na si unajua madafu yetu yanavyopoteza thamani dhidi ya USD?hapo ndo balaa linapoanzia.Maana within a week premium ilipanda kutoka TZS 127,000 hadi TZS 129,000.Sijui kuanzia september hii itakuwaje