Wadau,
Mi niko Tanzania. Nahitaji kujua gharama za boarding schools (private) kwa ajili ya watoto wa primary zikoje huko Kenya na ikiwezekana mapendekezo ya shule ambazo mnaweza kufikiri ni nzuri.
Mapendekezo ya Shule zilizo mikoa ya karibu na boarders za TZ ndio ninazo-prefer zaidi- hasa huu wa Sirari- zisiwe ndani sana.
Kwa sasa shule ninazo wasomesha watoto hapa naona gharama yake inapaa kila kukicha, idadi ya watoto wanaosoma nayo inaongezeka basi ni balaa.