Gharama za mwanasheria

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,352
4,782
naomba mwanasheria yoyote anisaidie kunipa exact au walau estimates za gharama zake kama mwanasheria kwa kuandika memorandum na articles of association, ku-notarize na zote zingine zinazo apply ili nifungue kampuni

naomba pia address au namba ya simu (baada ya maelezo hayo). asante in advance
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,948
250,000/= to 350,000/=

Gharama zinahusu nini?
1. kuhusu kumwona mwanasheria kwa ajili ya consultation?
2. kuhusu ku-draft legal docs only?
3. kuhusu ku-represent client mahakamani?
4. kuhusu ku-attest docs?
5. kuhusu ku-apisha?
6....?
Mfafanulie huyo ndugu badala ya kumpa figure ambayo haina maelezo yoyote, right?
 
Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
137

kuandika memorandum na article of association, ku-notarize na zote zingine zinazo apply ili afungue kampuni. Kama unafahamu zaidi, toa msaada wako. kwa profession mimi si mwanasheria lakini someone did all that for at approximately the range I provided.
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,948
kuandika memorandum na article of association, ku-notarize na zote zingine zinazo apply ili afungue kampuni. Kama unafahamu zaidi, toa msaada wako. kwa profession mimi si mwanasheria lakini someone did all that for at approximately the range I provided.

Ok, thanks!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom