Hahahaha Unamaanisha nini mkuu? Wenzako wamekuja kushindana na tigo, voda na airtel. Halafu bei zao ndo hizo hapo juu teh teh teh
Mkuu, usidhani sijui kuwa BOL ipo tangu 2009 ten kwenye internet. Najua kabisa kuwa wametoa huduma kwa cooperates tena ni host wa web na email adress mbalimbali. Hapa tunazungumzia market ya taifa zima sio Arusha au Dar peke yake. Wameanza kujitangaza kitaifa kupitia magazeti na website yao. Kwani zantel haikuwa inafanya vizuri zanzibar? Wakadhani watateka soko la tanzania bara. Wako wapi?Mkubwa kweli usichokijua ni sawa na usiku wa giza,hiv unaijua BOL/BENSON? Ni moja ya makampuni yanayolipa vizuri sana,ipo mda mrefu sana ilianzia Arusha na inakamata sana kwenye internet huko,haya makampuni ambayo hayana majina ndio yanalipa vizuri sana that implies wanapata faida ina corporate customers! Kampuni kama Smile inaweza ikawa inarandana mapato na tigo.
Mkuu, usidhani sijui kuwa BOL ipo tangu 2009 ten kwenye internet. Najua kabisa kuwa wametoa huduma kwa cooperates tena ni host wa web na email adress mbalimbali. Hapa tunazungumzia market ya taifa zima sio Arusha au Dar peke yake. Wameanza kujitangaza kitaifa kupitia magazeti na website yao. Kwani zantel haikuwa inafanya vizuri zanzibar? Wakadhani watateka soko la tanzania bara. Wako wapi?
Kumbuka pia BOL wameamua kutoa huduma ya voice GSM voice calls. Soko la hiyo huduma limefurika.
Kuna mtandao mpya utaingia soon, nadhani hawa ndio wataleta ushindani sio hao BOL, na kuna uwezekano mpaka vocha zao zikatengenezwa hapahapa tofauti na hii ya hapa ambapo vocha nyingi zinatoka Vietnam. Hawa wamejipanga kama watakuwa Serious... stay on JF for update
Wateja wengi wa mawasiliano wa Tanzania tunatumia zaidi ya mtandao mmoja wa simu, karibu kila mtu kwa sasa anajaribu kuwa na sim card za zaidi ya kampuni mmoja!!
Gharama za BOL mimi ninaona ni nzuri tu(Reasonable na Competitive), nadhani wataweza kuhimili ushindani kama tu watatoa huduma kwa uhakika zaidi.
Binafsi hakuna Mtandao ambao sijawahi kuutumia labda tu Sasatel. Ila hadi kwa Mwaikibaki nako nmemiliki SafariCom nikiwa hapa Bongo. Na mm ni addicted sana wa Internet.Juzi nliposikia BOL wakijoitangaza kuwa wana Internet ya Kasi Unlimited kwa Soiku kwa Tsh1000, Nkasema huenda wakawa wamekuja kivingine kuwapiku wenzao.
Nkajitosa nkaebda kununua line yao pale Chini ya tiffany Diamond Hotel Morogoro Rd Nearby "Tronics" Posta.
Wakasema hawajaanza kuuza Modems ila kama utakuwa na Universal Modem basi ntapata Internet kama kawa. Nmefika Home nkachomoa Line yangu ya Voda kwenye Universal Modem Yangu kisha nkapachika line ya BOL.
Kitu kikasoma 2G/GSM. Nlikoma nkajuta kupoteza Muda Wangu. Nlipojaribu kufungua Page. Mbona nlikoma, page ikafungua baada ya dk8.hata ufunguaji wake ulikuwa tofauti kama vile WAP inavyofungua Page zake.
Kwa Ufupi tu kama unataraji kununua huu mtando kwa Ajili ya Internet sikushauri Ufanye Hivyo kwani hutopata kile ulichotarajia kupitia experience nliyoiona. Na sio suala la Network,hapana niko ilala BOMA na Network ilikuwa ikisoma Full.
Mtandao Mzuri wa INTERNET ambao naweza kurecommend na wala hutojutia thamani ya Hela yako ni "Smile Comm" hawa jamaa unatazama/Stream Movie Mwanzo mwisho bila ya Bufferring. Ni techonolojia ya juu sana wanayotumia kwenye Data iitwayo "4G LTE" ila sasa bundle zao zimekaa kifisadi huku wenyewe wakijighamba kuwa Smile is not for EveryOne.
Kwa wenzetu na ss, sio Vibaya tuklaendelea kujibana na VODA/TIGO hadi hapo Baadae kitakapo kuja kueleweka.
Ni hayo Wazee nisiwachoshe. BOL noi Mbofu Mbofu.
Hahahaha Unamaanisha nini mkuu? Wenzako wamekuja kushindana na tigo, voda na airtel. Halafu bei zao ndo hizo hapo juu teh teh teh
Mkuu, usidhani sijui kuwa BOL ipo tangu 2009 ten kwenye internet. Najua kabisa kuwa wametoa huduma kwa cooperates tena ni host wa web na email adress mbalimbali. Hapa tunazungumzia market ya taifa zima sio Arusha au Dar peke yake. Wameanza kujitangaza kitaifa kupitia magazeti na website yao. Kwani zantel haikuwa inafanya vizuri zanzibar? Wakadhani watateka soko la tanzania bara. Wako wapi?
Kumbuka pia BOL wameamua kutoa huduma ya voice GSM voice calls. Soko la hiyo huduma limefurika.