mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
wadau
tuzicheki gharama za mtandao mpya wa GSM wa Benson Online BOL. Jamaa wanaingia kwenye market ili kupambana na tigo, vodacom, zantel, airtel,ttcl mobile na sasatel. (ambao baadhi ya hawa niliowataja wanavuja damu kutokana na competition iliyopo)
gharama za BOL mobile:
BOL -BOL ni Tsh 2.8 kwa sekunde
BOL- Other netwok ni Tsh 4.1 kwa sekunde
Daily Bundle: Tsh 500
-unapata dak 10 BOL- BOL dak 5 BOL-other network , sms unlimited, na MB 50 Data
Weekly Bundle: Tsh 4000
-unapata 100dak BOL-BOL, 70 dak BOL - other network, sms unlimited na Mb 750
Monthly bundle: Tsh 13,500
-dak 400 BOL-BOL, 200 dak BOL - other network, sms unlimited, 1.5 GB
kwa gharama hizi huyu jamaa ataweza kweli kuwin market au ndo anatafuta lawama kwenye uwekezaji??. nafikiri angewahoji zantel kwanza kabla hajajitupa kwenye hii "price sensitive
telecom market"
GHARAMA ZAO ZA INTERNET;
Daily Unlimited Tsh 1000
Weekly Unlimited Tsh 7000
Montly Unlimited 20,000
SINA UHAKIKA KAMA WANA 3G but niliwahi kusikia mdau mmoja alisema Bol ni 2G (EDGE)
SMS bundle:
Daily Tsh 250 (unlimited BOL-BOL, 200 other network)
Weekly bundle Tsh 650 (unlimited bol-bol, 800 other network)
Monthly bundle Tsh 2,700 (unlimited bol-bol, 5000 other network).
International SMS ni Tsh 135 per SMS