Gharama za matibabu ya dereva wa Lissu zimefikia kiasi gani? kuna harufu ya ufisadi hapa

Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?
Je unajua gharama za kununua madiwani na WABUNGE wanaojiuzuru? KAMA hujui kaulize lumumba then UJE tujadili matibabu ya TUNDU lissu NA dereva WAKE Mnazi mkubwa wewe
 
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?
Binti ni vizuri huu muda ungeutumia kuhangaika kutafuta mtoto!! CCM ni mashetani siku watakayo kutema na huna mtoto utalia na kusaga meno.....
 
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?

Mwambie Mkaguzi mkuu wa SERIKALI sense akachunguze pesa walizotoa SERIKALI kwa ajili ya matibabu MAISHA watakujibu kwani HAPA JF Hatuna makini.

UMEKOSEA JARIBU TENA BAADAYE..
 
Akijibiwa atauliza gharama za hospital aliyohamishiwa kalipia nani.

Pambana na hali yako waliyomchangia wanaendelea kumchangia na tunamshukuru "MUNGU" siku zinavyozidi kwenda afya yake inazidi kuimarika.

Ni kwa neema za "MUNGU"
 
Gharama Invoice zitaonyesha. Kuhusiana na matibabu ya dereva, what stake do you have for that?
 
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?

We umechangia nn na syo kubwata tu kipashkuna
 
Bila shaka wewe ni kahaba uliyekosa soko, unaulizia pesa za wanaume binafsi zimetumikaje.

Tafuta za kwako uzipangie matumizi.
 
Back
Top Bottom