Gharama za Matibabu ALMC

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau zifuatazo ni gharama za ndani matibabu kwafedha za ndani kwa baadhi ya matatizo ya kiafya katika Hospitali ya ALMC - Selian Arusha kama ifuatavyo:
1. Total hip replacement- 4,400,000/=
2. Total knee replacement - 5,500,000/=
3. Laparoscopic surgeries -3,000,000/=
4.Cesarean Section C/S- 550,000/=
5. CT Scan -280,000/=
Chanzo: ALMC
 
Hizo total knee and total hip replacement zifanyika pale Selian ?
 
Wadau zifuatazo ni gharama za ndani matibabu kwafedha za ndani kwa baadhi ya matatizo ya kiafya katika Hospitali ya ALMC - Selian Arusha kama ifuatavyo:
1. Total hip replacement- 4,400,000/=
2. Total knee replacement - 5,500,000/=
3. Laparoscopic surgeries -3,000,000/=
4.Cesarean Section C/S- 550,000/=
5. CT Scan -280,000/=
Chanzo: ALMC
Nilipataga tatizo la ligament mguu wa kulia .....yaani ni total tear of ligament hii operation yake ya kuweka ligament nyingine bei gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seliani Wana huduma mbovu Sana.. sijui shida nini... Kidogo mama wa rafiki yangu afie hapo Kwa issue ya kawaida Sana, Hadi alipoletwa Dar..... Wagonjwa wa bima kuweni makini Sana...
 
Back
Top Bottom