WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,415
- 1,379
Wakuu nafikiria kufungua biashara ya kitaaluma (professional consultation firm).Target ya wateja wagu ni wajasiriamali wadogo na wa kati wanaojihusisha keenye mnyororo wa chakula (food supply chain) yaani food producers,food suppliers,food processors,food handlers na wengine wengu waliopo kwenye sekta hii.
Jana nimesoma nyuzi nyingi humu kuhusu biashara nikawa motivated sana na kusajiri firm sasa mpango mkakati wangu wa kujitangaza ni kupitia TV,social media,na redio za mikoani naomba wataalamu wanisaidie gharama za matangazo hasa kwa redio za kijamii ni shilingi ngapi kwa tangazo la sekunde 20-60?
Asanteni