Gharama za kwenda na kurudi Afrika kusini

Hello mambo dear,
Mm naitwq Aysha naishi Dodoma! Niliona post yako ulijibu kuhusu usafiri ya kwenda south africa ni 4000 ZAR! Mm ntka nisafiri kuna rfk yng naenda kumwona...can i know hyo gharama ya rwandair ya 4000 ni go n return ama ni go tu?
Asante sana na pole kwa usumbufu
 
kama una nia ya kysafiri utagoogle exchange rate boya wewe.sio kila kitu utafutiwe.vingine jiongeze alaaah
Wasichana wa kihehe hamna hata lugha laini ya kubembeleza mtu kama huyo anayeenda Africa kusini jamani yakimnyookea aweza kukuoa Segito wahehe wakapata shemeji anayeishi Africa Kusini iobadala ya hao wa kalenga
 
Hata biashara ni kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasichana wa kihehe hamna hata lugha laini ya kubembeleza mtu kama huyo anayeenda Africa kusini jamani yakimnyookea aweza kuwa kukuoa Segito wahehe wakapata shemeji anayeishi Africa kidini badala ya hao wa kalenga
Hahahaaaaa daaah
 
Haw inabadilika Kurosawa na exchange rate na Sikh utasafiri kwa uhakika
 
Kwenda na kurudi pesa ya kitanzania ni 900,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda gari adi harare Zimbabwe,pale roadport kuna gari za kwenda south dola 20 tu na mwendo mfuupi unafika..mengine watakujuza wajuzi.BT ujiandae kurelax maana ni safari ya siku3...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…