Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 721
- 620
Segito we, ndiyo tulipofikia hapa tunataka vilaini tu vigumu hatuviwezi.yani ata kugoogle anashndwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Segito we, ndiyo tulipofikia hapa tunataka vilaini tu vigumu hatuviwezi.yani ata kugoogle anashndwa
Kama unajua ku google anaweza ulikuwa unamjibu ili iweje..yani ata kugoogle anashndwa
Mabinti wa kihehe mna matatizo, mnawahi kukasirika tatizo nini?kama una nia ya kysafiri utagoogle exchange rate boya wewe.sio kila kitu utafutiwe.vingine jiongeze alaaah
Hello mambo dear,Nakushauri Upande Ndege Kama Una Mpango Wa Kurudi.Napendekeza Ndege Ya Rwandair Na Utalipia 4000 ZAR Return Ticket Au Chini Ya Hapo Ukibook Mapema.Usafiri Toka OR Tambo To Jozy Panda Gautrain Au Uber Utalipia 55 Rands.Hotel Bed Alone Pale Bree Kuanzia 150 Mpaka 300.Hope Nimesaidia
Wasichana wa kihehe hamna hata lugha laini ya kubembeleza mtu kama huyo anayeenda Africa kusini jamani yakimnyookea aweza kukuoa Segito wahehe wakapata shemeji anayeishi Africa Kusini iobadala ya hao wa kalengakama una nia ya kysafiri utagoogle exchange rate boya wewe.sio kila kitu utafutiwe.vingine jiongeze alaaah
Wahehe na mihasira hasira yenu kila kitu unataka ngumikuna watu wanazingua.
Hata biashara ni kazi mkuuUnaenda kikazi na haujajua gharama?rafiki acha basi masihara.tumefanya wote kazi za kuajiliwa na zilipokua zinakuja safari za hivyo kulikua kuna mchanganuo mzima wa gharama ili uchukue per diem yako,na unapewa hizo gharama kutoka huko huko uendako.sasa wewe ni mfanya biashara au ni vipi mpaka uulize huku jf?
Kweni hukuelewa alichoandika?angesema kazi kwa maana ya biashara ningeandika tofauti na nilivyosema.
Watt wengine vichomi Tu.hahahaaaHahahahhaa nye segito
Hahahaaaaa daaahWasichana wa kihehe hamna hata lugha laini ya kubembeleza mtu kama huyo anayeenda Africa kusini jamani yakimnyookea aweza kuwa kukuoa Segito wahehe wakapata shemeji anayeishi Africa kidini badala ya hao wa kalenga
Haw inabadilika Kurosawa na exchange rate na Sikh utasafiri kwa uhakikaHello mambo dear,
Mm naitwq Aysha naishi Dodoma! Niliona post yako ulijibu kuhusu usafiri ya kwenda south africa ni 4000 ZAR! Mm ntka nisafiri kuna rfk yng naenda kumwona...can i know hyo gharama ya rwandair ya 4000 ni go n return ama ni go tu?
Asante sana na pole kwa usumbufu
Hello mambo dear,

Hi Ayesha! I don't work na Rwandair.tafadhali tembelea ofisi zao kwa maelezo zaidi.bei zinapoa zaidi ukiwahi kubook in advance.pia Wana offer nzuri na bei Nafuu zaidi
Kwenda na kurudi pesa ya kitanzania ni 900,000Hello mambo dear,