Nataka kwenda Afrika Kusini

thewailers

Member
Jan 30, 2023
13
9
Habari ndugu zangu, kama kichwa kinavojieleza, nataka kwenda south Africa kukaa siku Tatu. Kuna nyuzi nyingi zinazoelezea safari ya kwenda South Africa ila ni za muda kidogo. Wakuu naomba kufahamu yafuatayo:

1) Documents ninazo takiwa kuwa nazo achilia mbali passport na yellew fever.

2) Gharama kwa njia ya basi kuanzia Dar hadi Johannesburg then Cape Town.

3) Aina ya pesa ninayo takiwa kuwa nayo.

4) Gharama za malazi za kawaida kuanzia njiani hadi kufika SA.

5) Gharama za chakula.

6) Kama kuna chochote cha msingi nimesahau.

Natanguliza shukran zangu
 
Back
Top Bottom