Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 416
- 462
Nimekuwa nafuatilia Gharama zinazotozwa kila nitoapo pesa katika ATM za NMB Pamoja na Gharama nyinginezo Kama zile za mwezi au mwaka. Nimeona Kuna maumivu makubwa saaana. Naona tunatozwa service charges katika akaunti moja maranyingi na kubwa mno. Kutoa pesa ATM chini ya laki tunatozwa 5400. Hii Ni zaidi ya mitandao ya simu. Tuliangalie hili.