Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,059
- 1,041
Natumai mkoa poa.naomba kujulishwa kwa anaefahamu,Kama mtu anataka kutoa singo anatakiwa kuwa na pesa kiasi gani? Pili studio ipi hapa dar ambayo ni Bora kabisa ambayo inaweza kumtoa underground Kama atakuwa tayari kurekodi wimbo...Asante