Gharama za kupata CPA

Gharama za kupata CPA

Rayzuh

Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
13
Reaction score
4
Mpaka kuipata hyo CPA sijajua kwanini ina gharama kiasi kikubwa hivyo, na hata hawaogopi kututangazia hizo gharama.

Watoto wa maskini wanaumia kutokufika malengo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree

Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi
 
Nikushaishe kidogo, cpa inatafutwa haipatikani kirahisi kama degree

Gharama ni kawaida, haizidi milioni na nusu. Na hapo ni hadi umebahatika ukipata maana kuna watu wanaisotea miaka nenda rudi
weka gharama zote mkuu tuzijue
 
Back
Top Bottom