Mhhh.... mshana huwa nakukubali lakini hii mbona ni kama hate speech kwa bil Mulokozi?Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi
Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote.
Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na kuwafanya wendawazimu kabisa! Hata wewe ukizipata utawehuka hasa zikishakuwa nyingi na ziada kwa ajili ya kutimiza matamanio ya kimwili na kudhihirisha ukwasi wengi hujikuta wananunua na kumiliki kifo kwa gharama kubwa!
Kumiliki helicopter ni aina mojawapo ya kudhihirisha mapene mengi uliyonayo.. Maana gharama zake si mchezo kuanzia
Manunuzi
Vibali
Mafuta
Rubani
Service
Ruhusa ya kuruka
Maegesho nknk
Pamoja na usafiri wa ndege kutajwa kama usafiri salama zaidi duniani.. Lakini kwa helicopter ni ngumu kuamini sana hayo yanayosemwa.
Helicopter zimekatisha maisha ya watu wengi maarufu na wenye pesa nyingi. Helicopter haina comfortability yoyote. Hata ukipanda hamuwezi kusikilizana na ni lazima mvae headphones.
Hata kama kuna life jackets lakini msaada wake ni mdogo sana kwakuwa ajali za helicopter hutokea ghafla na bila dalili za kukupa muda wa kujiandaa.
Kwa mshangao mkubwa watu wwnamiliki chombo hiki ambacho kimejaa gharama na usumbufu mwingi. Halafu kifo ni njenje.
Kumiliki helicopter ni sawa na kumiliki kifo kwa gharama kubwa!
Kingine ni kumiliki bastola!
Kadata!Mshana bana huwa na sapport sana mambo yako ila sasa naona sasa hvi kama una shida hivi mkuu.....
Kufurahisha moyo wake!Vile afikiliavyo mtu, ndivyo alivyo!Kama huyo anayenunua helkopta katikati ya masikini wengi, huo si wehu? Kama hana moyo wa utoaji kwa masikini bora angenunua ardhi ajenge majumba ya biashara au angejenga viwanda wananchi wengi wapate ajira
kaka anazeeka kwaiyo twende naye tu taratibu taratibu.Mshana bana huwa na sapport sana mambo yako ila sasa naona sasa hvi kama una shida hivi mkuu.....
Jose Mourinho alinusurika na ajali ya Helicopter?Tajili wa lecter city had Leo hii kimya ,mchezaji basketball wa marekani had Leo hii kiyma,Jose Mornhyo naye alimanusara afunge safari kiufupi uwo si usafiri kabisa
Hicho ni kifo mkononi wakati wewe unamaliza mwaka ama zaidi hujanitumia anayekuja kukuvamia anatumia daily.. Nani yuko sharp hapo? Yeye kajiandaa ila wewe kakustukizaKweli Ila katika bastola hapo ni Kwa ajili ya kujilinda zaidi hasa kutokana hali ya usalama .