Gharama za kuchimba kisima cha maji baridi

Gharama za kuchimba kisima cha maji baridi

Jambilo (Ref: #21)Kasema kuchimba ilimgharimu 2,880,000/=. Kwa hiyo kwa vile alichimbiwa mita 45 bei kwa mita moja itakuwa ni 64,000/= kama alivyotaja na siyo 6,400/=.
 
Kuhusu kupima aina ya maji ebu dadavua kidogo ili tupate kuelewa.
 
Wenzetu water table iko karibu sana naona, huku arusha maji unayapata mita 120- 180. Mpaka ufikie hatua ya kutumia maji uliyodrill imekugarimu mil38
Wapi huko mbona moshono kati ya thelathini na tano na arobaini nimepata maji.
 
WEkeni bei nyie watu!!
Ukiiona wanaficha bei jua kunacha juu ambae ni dalali, amka wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom