Gharama za kuchimba kisima cha maji baridi

Aminikweli

Member
Oct 2, 2015
5
0
Habari za mida wadau.

Natafuta mtu au kampuni itakayoweza kunichimbia kisima cha maji yasiyo na chumvi kwenye shamba langu km 7 kabla ya kufika Bagamoyo mjini kwa bei nzuri ikiwemo installation ya pipes etc.

Mwenye ujuzi na mambo haya tafadhali anijuze makadirio ya bei.

Asante.
 
Mtafute jamaa humu Jf tawa driller,mm kwangu wamenichimbia kisima na napata Maji safi na salama kabisa....
Contact yake ni 0655541948
 
Mimi alinichimbia kwa 64000 kwa Mita 1,na hiyo ni kuchimba, setting, hadi pump...na nmechimba Mita 45
Tshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
 
Tshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
Sikufanya survey kwangu!majirani wamechimba kisima na huku kwetu Mita 35 mpk 45 unapat Maji safi.....ila Maji ndy nlipimaa yako vizuri
 
Tshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
Jumla ilikuja kama 3,200,000,kuna kununua Maji masafi lita kama 6000 na garama zingine za ziada akama kujengea kisima na kuweka kifuniko,mabomba ya PVC etc....garama hizo ndg zako
 
Mimi alinichimbia kwa 64000 kwa Mita 1,na hiyo ni kuchimba,setting,hadi pump...na nmechimba Mita 45
Weka bei kamili mpaka kila kitu kumaliza ilikuwa kiasi gani, nasi tujue, na je ni eneo gani ulichimba, bondeni au mwinuko, na ni mji gani, katika wilaya ipi
 
Weka bei kamili mpaka kila kitu kumaliza ilikuwa kiasi gani, nasi tujue, na je ni eneo gani ulichimba, bondeni au mwinuko, na ni mji gani, katika wilaya ipi
Wilaya kinondoni ....sehemu kinondoni b.
Sehemu tambarare.......sikufanya survey nmetumia akili na uwezo kwangu tu kuwambia wapi kuchimba maana sehemu yetu Maji yanapatikana...wakati mwingine ktk maisha jiongezeeee.
Mchimbaji nilimpata humu humu Jf anaitwa tawa driller na Ana uzi wake kuhusu uchimbaji wa kisima na garama zake....
 
Asante sana mkuu,
 
Wenzetu water table iko karibu sana naona, huku arusha maji unayapata mita 120- 180. Mpaka ufikie hatua ya kutumia maji uliyodrill imekugarimu mil38
 
Back
Top Bottom