Gharama za Internet hazishikiki

Gharama za Internet hazishikiki

Kama unaunga leo sa 6 usiku ujue kesho itaendelea hadi sa 6 usiku so sa 4 usiku kesho itakua bure na sa 5 bure ni masaa 24 kamili.

voda bora watoe vocha za 200 kama zantel

hiyo ya mia mbili wajiunga Vp kwa
*102*250# au?

na wana limit data na speed?
 
Nasikia ule mteremko waliokuwa wanatoa Airte, wa 450 MB kwa siku 30 kwa gharama ya 2,500/- kupitia simu umefungwa, je ni kweli?
 
Hebu tuangalie wababe wa tz vodacom vs wababe wa kenya safaricom

Nimepitia website ya safaricom viwango vyao vipo namna hii

bundle
price ksh (tsh)
validity period
4mb
5 (90)
7days
8mb
10( 180)
7days
16mb
20 (360)
7days
40mb
50 (900)
30days
80mb
100 (1800)
30days
200mb
250 (4500)
30days
500mb
500 (9000)
30days
1.5gb
1000 (18,000)
30days
3gb
1999 (36,000)
90days
8gb
3999 (72,000)
90days
25gb
11,499 (207,000)
90days

Source hii hapa
Safaricom - PrePay Bundles

Then kwa vodacom tanzania

bei (tsh)
bundle
mda
250
25mb
siku
450
50mb
siku
700
100mb
siku
2,500
150mb
wiki
7,500
500mb
wiki
10,000
unlimited
wiki
8,000
500mb
mwezi
15,000
1gb
mwezi
20,000
5gb
mwezi
30,000
unlimited
mwezi
*****
*****
*****

Haya wadau oneni tofauti ya tz na kenya unaweza ukataja mtandao wako wa nchi fulani unayoona rahisi tufanye comparison

Hapo hujataja saa 4 usiku hadi asubuhi sh 200 tu then ukinunua leo kesho wanakupa bure

Value ya pesa ndo inakufanya uone we tz uko chini, wala si hivyo kiukweli hela yako tz haina thamani, hivyo gharama zako ziko juu.
 
mmhh. ndio nini hiyo? kama hela haina thamani vitu si ndio viuzwe kwa bei ya juu. kwa mfano turkey mwaka 2004 mkate ulikuwa ukiuzwa laki 6. au jaribu kwenda zimbabwa kanunue kitu kidogo kama kibiriti. inabidi ubebe miji hela. na kenya ambako hela yao ina thamani sahani ya chips ni ksh.45 tu.
 
Yaani hili suala la internet bongo ni chnagamoto.Hivi mkonga wa taifa bado tu hujazinduliwa tuanze kula faida zake?
 
Hata mimi nasikiaga tu mkonge mkonge hamna kitu chochote ila ttcl wanatumia sasa jinsi wanavyotumiaje wanajua wao na wateja wao
Yaani hili suala la internet bongo ni chnagamoto.Hivi mkonga wa taifa bado tu hujazinduliwa tuanze kula faida zake?
 
hiyo ya mia mbili wajiunga Vp kwa
*102*250# au?

na wana limit data na speed?

Sku hizi unabonyeza *149*01# halafu unachagua option ya 3 wajanja night offer

-bei imeshuka sio 250 ni 200
-mda umeongezeka inaanaza sa 4 usiku mpaka sa 1 asubuhi
-ni unlimited speed na unlimited download kama una uwezo hadi 10gb unadownload
 
Value ya pesa ndo inakufanya uone we tz uko chini, wala si hivyo kiukweli hela yako tz haina thamani, hivyo gharama zako ziko juu.

Sasa maana ya kufanya conversion ni nini? Hizo hela zilikua za kikenya tukazibadili tupate thamani yake kwa tanzania so tayari tushaua suala la hela kuwa au kutokua na thamani.

Hela yetu haina thamani ndio ndo mana sh 1 ya kenya ni 18 ya huku. au ulikua unamaanisha life cost hujaeleweka kabisa
 
Muulize amejuaje thamani ya hizo fedha?
 
Sasa maana ya kufanya conversion ni nini? Hizo hela zilikua za kikenya tukazibadili tupate thamani yake kwa tanzania so tayari tushaua suala la hela kuwa au kutokua na thamani.

Hela yetu haina thamani ndio ndo mana sh 1 ya kenya ni 18 ya huku. au ulikua unamaanisha life cost hujaeleweka kabisa

Kuna factors nyingi za kuangalia siyo conversion tu, angalia vile vile source za kipato cha wananchi nk zingatia (GDP=GDI). Nani mwenye maisha yako affordable zaidi ni yule mwenye pesa yenye thamani au yule pesa yake haina thamani?
 
mmhh. ndio nini hiyo? kama hela haina thamani vitu si ndio viuzwe kwa bei ya juu. kwa mfano turkey mwaka 2004 mkate ulikuwa ukiuzwa laki 6. au jaribu kwenda zimbabwa kanunue kitu kidogo kama kibiriti. inabidi ubebe miji hela. na kenya ambako hela yao ina thamani sahani ya chips ni ksh.45 tu.

Kuna factors nyingi za kuangalia siyo conversion tu, angalia vile vile source za kipato cha wananchi nk zingatia (GDP=GDI).
 
mmhh. ndio nini hiyo? kama hela haina thamani vitu si ndio viuzwe kwa bei ya juu. kwa mfano turkey mwaka 2004 mkate ulikuwa ukiuzwa laki 6. au jaribu kwenda zimbabwa kanunue kitu kidogo kama kibiriti. inabidi ubebe miji hela. na kenya ambako hela yao ina thamani sahani ya chips ni ksh.45 tu.

Kuna factors nyingi za kuangalia siyo conversion tu, angalia vile vile source za kipato cha wananchi nk zingatia (GDP=GDI). Nani mwenye maisha yako affordable zaidi ni yule mwenye pesa yenye thamani au yule pesa yake haina thamani?
 
Kuna factors nyingi za kuangalia siyo conversion tu, angalia vile vile source za kipato cha wananchi nk zingatia (GDP=GDI). Nani mwenye maisha yako affordable zaidi ni yule mwenye pesa yenye thamani au yule pesa yake haina thamani?

Unajua maana ya gdp? Na gdi? Au unaongea tu sasa income ya nchi ndani ya borders zake (kwa ku exclude walio nje ya nchi) inahusiana vp na bei ya mtandao? Mfano kenya wakiwa na income ya trilion 100 na sisi trillion kumi inaafect vp manunuzi ya internet?

Kwa taarifa yako tu vitu vya kitech sio mpunga wala mahindi hivi vinatoka ulaya na marekani na asia ya mbali so kama vinauzwa milion 1 hua hawaangalii nchi flan ina pato dogo wakupunguzie (labda watengeneze fake kwa bei rahisi).

Kama safari com toka kenya matajiri waende kampuni xxxx ya marekani kununua internet terabyt 100 kwa milion 1 same voda wakienda kampun xxxx watatozwa same price hata kama voda ni maskini.

twende deep zaidi
Chakula maarufu skuizi ni mkate hebu tuangalie bei kwa kenya sh 40 na tanzania sh 900 (eneo nilipo). Kama kuna marekebisho ya eneo lako tuta calculate.
Bre_Mkate1.jpg

3gb kenya 2000 na 5gb tanzania 20,000

Mtu akinunua 3gb kenya amefanya opportunity cost ya kununua mikate ya sh 2000 ambayo ni mikate 50 (other factor remain constant)

Mtu akinunua 5gb tanzania amefanya opportunity cost ya kununua mikate ya sh 20,000 ambayo ni mikate 22 (other factor remain constant)

So kwa 3gb kenya kakosa mikate 50 na 5gb mbongo kakosa mikate 22 nani kala hasara? Mbongo au mkenya? Nani ana gharama kubwa? Hii ni njia pure ya kiuchumi sjui na hapa utajiteteaje
 
dollar kwa dollar;
pound kwa pound
faranga kwa faranga
kwacha kwa kwacha

Tanzania ni one of the cheapest countries when it comes to Internet (although quality wise you might argue otherwise)
 
Back
Top Bottom