Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Unazungumzia halotel ipi? Ile ya 1500 kwa mb800 ambazo hazikatizi hata siku 3 unaambiwa umebakiza mb5? Ama kuna halotel mpya?
Mkuu sijajua unatumia device gani,ila nakuhakikishia kwa hapa bongo halotel ndio wanaongoza kwa huduma nzuri za vifurushi vya internet,na internet yao ipo imara,sijawahi kujuta kutumia halotel,hasa nikilinganisha na huduma za mitandao mingine hapa nchini...hawana mpinzani.
 
Mi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogo
Kwa matumizi ya kushinda jf litaishi. Ila ingia youtube hata dakika 5 tu! Insta dakika 5 tu kila siku uone kama hata siku 2 zitaisha.

Ukijiunga la mb800 humalizi nalo siku 3! Yani its like huruhusiwi ku stream content. Wanakumenya balaa!
 
Ulitakiwa utumie Zantel akati offer yao ya bila kikomo bado iko. Ungekuja kutukana mitandao mingine yote.
 
Pumbavu hawa, walikuwa wananipa GB1 kwa 1000, superuni sahv wananipa MB500,

aisee nikajua peke angu. Nyie Vodacom Tanzania mbona mmepoteza maana halisi ya DAR SUPA UNI jamani.!! nawahama naenda halotel bakini na hao wataonunua 500mb kwa 1000TSH wakati wenzenu 1000TSH unapata GBs kwa siku tatu.
 
hata mimi nismestuka sana kuona huu ujinga.yaani 5000 kwa 800nb.hali yenyewe ya uchumi ndiyo hii.ngoja nianze kufanya survey ya mitandao mingine nisepe.bahati nzuri sina mkataba nao wa kudumu

voda kila kitu juu.hata vifurushi vya kupiga mitandao yote vipo juu.
 
Mbona kwangu hiyo alfu5 inaonesha ni gb3
 
*147*00#ok alafu unachagua namba 1 ofa maalum alafu unachagua namba 2 ni 1500 siku 3 na namba 3 ni 2000 wiki..
Ila hii sijui ni baadhi ya wateja au ni laini ya siku nyingi sielewi maana kuna wanaopewa na kuna ambao hii menu kwao haipo..
Jaribu kwanza niletee mrejesho mkubwa.
Nipe menu yake mkuu
 
Hii ni kwa baadhi ya laini tu mkuu siyo wote, kama Mimi kwangu ofa maalum naipata kwa menu *148*00# na hiyo 1500 kwangu Mimi in Mb500 kwa hiyo si wote wanapata hiyo offer
 
Kwa matumizi ya kushinda jf litaishi. Ila ingia youtube hata dakika 5 tu! Insta dakika 5 tu kila siku uone kama hata siku 2 zitaisha.

Ukijiunga la mb800 humalizi nalo siku 3! Yani its like huruhusiwi ku stream content. Wanakumenya balaa!
Naangalia movies on line japo sio muda wote, sina mambo ya instagram lkn huwa sizimi data.

Kwa jinsi ninavyotumia mbs, halotel kwangu ina nafuu kuliko voda.
 
Hiyo yako ni uni ofer bhana hata kwangu ipo ila laini ingine ya tigo hiyo hiyo ambayo kwenye hii lain ingine hii ofa ya 2000 gb 1.2 nayo haipo kabisa..
Hii ni kwa baadhi ya laini tu mkuu siyo wote, kama Mimi kwangu ofa maalum naipata kwa menu *148*00# na hiyo 1500 kwangu Mimi in Mb500 kwa hiyo si wote wanapata hiyo offer
 
Hiyo yako ni uni ofer bhana hata kwangu ipo ila laini ingine ya tigo hiyo hiyo ambayo kwenye hii lain ingine hii ofa ya 2000 gb 1.2 nayo haipo kabisa..
Ndo maana nikasema ni kwa baadhi siyo kwa kila mtu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…