Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

hallotel kwass ndo habar nzito hao wengne tupa mbali huko....
bado kitambo kidogo tu tutaanza kulia juhusu halotel ... by the way naombeni anayejua lolote kuhusu zantel anihabarishe shachoka kabisa
 
Dabo bando in no more

Nilikua nanunua sh 2000 gb 2 naongezewa na gb 2 zingine zina kua gb4 kwa sh 2000 per day

Wamefutaaa
Sasa ni buku mbil unapata gb 3 hiyo ndo alternative mkuu

So far mimi naunga gb 10 zile natulia nazo tu.
 
Mkuu hiki cha elf2 gb3 mbona sikioni kwa menu?
Nahisi wametoa ,naona imebak gb2 kwa 2000,

Hawanaga offa za mda mref hawa jamaa

Sema kama unaeza fanya ujanja ujanja make sure unapata lain ya chuo..first year ndo hao na naona madaftar ya tigo na voda huko mavyuon watu wanaandika namba zao tu.

Otherwise kukomaa na hizo 2gb kwa 2000 au 10gb kwa 10000 au pia kusubir mana hawakawii kuleataga offa nzur .
 
Sasa tatizo bado mnapimiwa kwa vibaba speed kubwa ila hakuna freedom ya kutumia unavyotaka!
Lakini to the best of my knowledge hata makampuni ya ulaya kwa mfano Verizon yenyewe hamna kitu kama unlimited ikija kwenye issue za mobile data/4g kwa mfano
5d7823b991ca2595823cd2a7966efc91.jpg

Unlimited Data Plans: Get Unlimited Talk, Text & Data from Sprint

Hapa pia utaona bei za vodafone uk
4876b2ed0f5c47d60421592d7677e86a.jpg

Pitia hapa uone bei za O2 zilivyokuwa ghali Sim Only Deals and Pay Monthly Sim Contracts - from £10 | O2

Naeza niendele Nchi baada ya nchi kuprove my point ni kampuni chache sana duniani zina bundle za 4g unlimited mfano MetroPCS USA na MTS Russia (mnaeza muongeze nyingine mnazojua) lakini bado prices ni kubwa kwa prices hizi zetu Tanzania tupo very lucky huwezi amini. Angalia wenzako fanya conversion kwa Tshs

Data Plans | Glo Nigeria | Unlimited
INTERNET PACKS | Tigo Rwanda
Voice and Data - Contract and Prepaid Packages | Vodacom
Internet Data Plan, Prepaid/ Postpaid Unlimited Data Plan, Night Shift Data Bundles - Safaricom
Mobile Internet | Bundles | MTN Uganda

*Unlimited bundle naona zipo more profitable kwenye Broadband/fibre network za nyumbani kwa hiyo data ni expensive everywhere unafuu wanaupata kwenye ISPs/TV company wao mfano Google fibre, BT, Virgin media n.k
Plans and Pricing – Kansas City – Google Fiber

http://www.virginmedia.com/shop/broadband/compare.html

Fibre for your Home - Home - Telkom

Mfano mzuri hapa East Africa ni hichi kifurushi cha zuku Kenya Infinite 60 bei nzuri spidi nzuri Fiber Packages - Zuku
 
Jamani nidaidieni. Hiki king'amuzi cha continental nikipeleke wapi? Ki ukweli hawa jamaa hawakuwa wamejipanga na hawakuwa tayari kutoa huduma. Haipiti wiki bila tatizo. Kwa mfano Mimi Niko Moshi natumia cha dish, lakini kinakata kila baada ya dakika, Mara umefungua ITV, unashtukia kimeruka na kinafungua star TV, mbona tatizo hili. Tcra wako kimya. Waelewe sisi tunalipia kila mwezi, je wanatufidiaje siku ambazo hatupati huduma zao? Hii naomba hao wenye king'amuzi hicho watoe ufafanuzi wa kina.
 
wa
tigo ni waizi sijawai ona......halotel ndo mpango kwasasa kabla nawao hawajaanza kulewa sifa.........
najua halotel ni mbwembwe za biashara,.mwanzoni baadae wakiona watu wamejaa...wanaanza kubana..so its better kuwanyonya sahv chalii
meshaanza na bado linayoyoma na net inakatakata
 
Tigo na Airtel manager masoko waache bangi na kulala kujisahau wanafamya biashara kimazoea
 
Hizo speedtest hazina maana, unapotumia app ya spedtest by default inachagua kuunganisha kwenye server za voda kama upo voda so unachopima ni connection kati ya wewe na server za voda, hii inadanganya maana unakuwaa haujatoka nje ya nchi na hapo ndo shida ya internet ilipo.

Unapotumia karibia website yoyote unakuwa unaongea na server zaa ulaya au marekani ambazo inabidi uende mbali na uvuke hops nyingi kuzipata hii ni tofauti kubwa na kudownload kutoka server za voda ambazo sio tu zipo nchini bali pia wanaweza kumanipulate results, yaani wakiona unajaribu kukonect katika speednet wanakuachia speed full tofauti na unapotumia mitandao kwa kawaida.
 
Hiyo speed ndio ninayo pata hata kweny IDM 6MBs to 7.5MBs
 
Lakini to the best of my knowledge hata makampuni ya ulaya kwa mfano Verizon yenyewe hamna kitu kama unlimited ikija kwenye issue za mobile data/4g kwa mfano

Unlimited Data Plans: Get Unlimited Talk, Text & Data from Sprint

Hapa pia utaona bei za vodafone uk

Pitia hapa uone bei za O2 zilivyokuwa ghali Sim Only Deals and Pay Monthly Sim Contracts - from £10 | O2

Naeza niendele Nchi baada ya nchi kuprove my point ni kampuni chache sana duniani zina bundle za 4g unlimited mfano MetroPCS USA na MTS Russia (mnaeza muongeze nyingine mnazojua) lakini bado prices ni kubwa kwa prices hizi zetu Tanzania tupo very lucky huwezi amini. Angalia wenzako fanya conversion kwa Tshs

Data Plans | Glo Nigeria | Unlimited
INTERNET PACKS | Tigo Rwanda
Voice and Data - Contract and Prepaid Packages | Vodacom
Internet Data Plan, Prepaid/ Postpaid Unlimited Data Plan, Night Shift Data Bundles - Safaricom
Mobile Internet | Bundles | MTN Uganda

*Unlimited bundle naona zipo more profitable kwenye Broadband/fibre network za nyumbani kwa hiyo data ni expensive everywhere unafuu wanaupata kwenye ISPs/TV company wao mfano Google fibre, BT, Virgin media n.k
Plans and Pricing – Kansas City – Google Fiber

http://www.virginmedia.com/shop/broadband/compare.html

Fibre for your Home - Home - Telkom

Mfano mzuri hapa East Africa ni hichi kifurushi cha zuku Kenya Infinite 60 bei nzuri spidi nzuri Fiber Packages - Zuku

This fact does not make you compare yourself with South Korea!

Na kama Nchi zote Mobile Data ni expensive na sio Unlimited it does not necessary mean hata Tanzania tusiwe na Unlimited internet...After all kwa sasa kuna Unlimited Internet za Smart na Smile all of which ni Mobile networks tena kwa bei inayoeleweka!

Yes I agree with you,For some reasons Mobile data is supposed to be expensive ila mimi sioni kama ni sahihi ku compare nchi zilizoendelea ambako Wired internet connection is the mainstay i.e wale wanaotumia wired connection majumbani na maofisini wana deprive Revenue kwa Mobile networks hivo kuwafanya Running cost yao kuendelea kuwa kubwa,Ila huku kwetu ni kinyume Mobile users nafikiri ndo wako wengi kushinda hata hao wanaotumia wired internet, (We may need a poll kwa hapa JF kuona visitors wengi wanatumia network ipi ku verify hili) sometimes hata kazi za ki ofisi watu bado wanatumia mobile networks nimeshuhudia watu wanaenda mpaka Smart na Smile kuchukua Internet ya kutumia na CCTV camera kwangu mm naona hii ingekua bora zaidi kwa broadband.

Lakini pia uki compare mfano TTCL Nduki ambayo ni broadband ni expensive kwa hapa Tanzania kushinda hata Mobile networks 2Mbps Unlimited kwa TTCL wame indicate ni 95,000/= wakati Smart ni around 70,000/= same applies kwa Smile
TTCL About Us
SmileData Bundles – Smile – Now you can
SMART 4G LTE - Smart - Lets Talk

Mimi hapa tatizo naloweza kuliona kwa hawa jamaa ni kutaka Super Profit tu,Kama unakumbuka siku zile ukinunua Mda wa maongezi unapewa hata kwa kifurushi cha siku 100Mb ila kwa sasa ni kinyume ,which is claimed to be the order from Regulatory body.Smartphome users wameongezeka kwa kasi sana in a quarter of a decade na hii ina implication nzuri kwao katika biashara kwenye upande wa mapato ila kila kukicha wana minya!
 
Back
Top Bottom