Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Voda niliacha kutumia Voda kwa magumashi yao nikahamia airtel na tigo data airtel wanatisha pamoja na halotel hazisumbui lakini tigo kwa hapa dar data sijawahi ona speed hata kidogo
 
Voda tunasepa na kijiji
1475820359906.png
 
Voda wana offa ,kuna dabo bando via mpesa,kuna ile ofa maalum,kuna university ofa ambayo ni nzur kuliko mtandao wowote..
Kutokana na hizo ofa na kwakujali speed basi voda wmetisha

Hivi ukipewa hata gb 100 za tigo kwa sh 500, sijui hta utazifanyia nini.
Anyway TCRA watusaidie ku control hizi bei.
Mkuu hebu punguza maneno kidogo... Tiririka hiyo universty offer ya voda.
 
Pamoja kwamba nimerudi voda baada ya sim yangu ndogo kuzingua. Nawakumbuka hallotel wako vizuri kinouma
 
tigo ni waizi sijawai ona......halotel ndo mpango kwasasa kabla nawao hawajaanza kulewa sifa.........
najua halotel ni mbwembwe za biashara,.mwanzoni baadae wakiona watu wamejaa...wanaanza kubana..so its better kuwanyonya sahv chalii
 
Voda wana offa ,kuna dabo bando via mpesa,kuna ile ofa maalum,kuna university ofa ambayo ni nzur kuliko mtandao wowote..
Kutokana na hizo ofa na kwakujali speed basi voda wmetisha

Hivi ukipewa hata gb 100 za tigo kwa sh 500, sijui hta utazifanyia nini.
Anyway TCRA watusaidie ku control hizi bei.
Hata kama ukinunua dabo bundle ya 95k utapata 60GB wakati halotel una 71.6GB nahisi hawa voda na tigo wanajivunia wingi wa subscribers ila halotel wana speed nzuri na vile vile affordable .
 
Back
Top Bottom