Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Voda tg wamelewa mafanikio. Halotel wapo vzr. Na vifurushi vyao haviishi mapema Mb 600 wiki nzima hata ufanyeje kwa net ya cm. Lakini hao wengine watakupa sijui Gb kadhaa lakini DKK chache tu zimeisha. Wasilewe mafanikio waige baadhi ya Huduma halotel. Bado tunawahitaji
 
Mkuu bado unawahitaji wanyonyaji hao. Mi hata sitaki kuwajua. Nilikuwa mteja wa tigo tangu nimeanza kutumia simu ila kwa sasa nimebaki kuipokelea simu tu. Kuweka vocha au kujiunga bando lolote majaliwa.
Halotel ndio mpango mzima nikiweka elfu kumi ni mwezi mzima sionani na mangi muuza vocha.
 
Hapo Sijaona Smile 4G,TTCL 4G na Zantel 3G/4G kwenye List h120

Kwa mtazamo wangu Smart na Smile 4G ndo wana Unlimited pekee kwa mikoa yenye hiyo Network hivo kwa wale ambao ni heavy users ndo mitandao sahihi ya kutumia!

Kwa mobile phones na mtaumizi ya kawaida kwenye Computer labda tunaweza wafikilia hao wengine
 
Screenshot_20161027-123201.png
VODACOM TANZANIA..hawa jamaa shida
 
Hapo Sijaona Smile 4G,TTCL 4G na Zantel 3G/4G kwenye List h120

Kwa mtazamo wangu Smart na Smile 4G ndo wana Unlimited pekee kwa mikoa yenye hiyo Network hivo kwa wale ambao ni heavy users ndo mitandao sahihi ya kutumia!

Kwa mobile phones na mtaumizi ya kawaida kwenye Computer labda tunaweza wafikilia hao wengine
Smart mikoani naona wamesitisha huduma nipo, mbeya network yao inashika, lakini ofisi wamefunga na hata wakiulizwa hawatoi majibu ya kueleweka naona wameamua kukomaa na soko la DSM kwanza.
 
Mkuu nilikuja kucheck tena nikaona kweli vimebadilika... But line yangu mimi ni ya chuo so unafuu ninaupata kwa sana...
 
Natumia Smart unlimited 70,000 iko poa sana, ninachopenda ni unlimited sihitaji kubalance matumizi. Spidi sio kali sana kutegemea na ulipo.
 
Dabo bando in no more

Nilikua nanunua sh 2000 gb 2 naongezewa na gb 2 zingine zina kua gb4 kwa sh 2000 per day

Wamefutaaa
 
Back
Top Bottom