Kwa bango la size ya 36 square metres (6 m x 6 metres, 3 metres x 12 metres, 4 m x 9 metres) gharama za uchapishaji ni Shs 1,000,000 kila moja (kama unayo design yako) na ubandikaji barabarani Shs 1,500,000 kila mwezi. Hapo inakuwa Shs 2,500,000 kwa bango moja kwa mwezi kabla hujaweka gharama za halmashauri ya jiji / manispaa za kila mwezi, kodi ya VAT na nguvu kazi / vijana wa kutundika. Ghrarama za design zinategemea ni michoro au picha za aina gani unaweka, kama ni binadamu utahitaji kuwalipa bakshish/consent fee ya kupose nk. Other wise watafute outdoor au wadau wao watakupa latest quotations.