Me nahitaji chumba self na sebure kiwe na tails na dilisha za aluminium .
Eneo
Igoma
Nation na
Buzuruga
Wee jamaa chumba cha elfu 30 nenda igogo,mabatini,kayenye...au igombe.
Nitakucheki poti vipo mahina IPI? Kati njia panda maeneo ya kina hamadi kibanda umiza? Au juu kuelekea mkuyuni ndani ndani?Nina vyumba vya kupangisha maeneio ya Mahina..bei elf 30..vyumba vina maji, umeme, tiles, Gypsum, aluminium na nyumba iko barabarani kwa maana daladala zinapita hapo..karibu
Mahina ya Kanyerere km unatoka mjini baada ya nyumba za Masister.Nitakucheki poti vipo mahina IPI? Kati njia panda maeneo ya kina hamadi kibanda umiza? Au juu kuelekea mkuyuni ndani ndani?
Sent using Jamii Forums mobile app
mtaa gani?Ninapoishi, kwa chumba na sebule ni sh elfu 50 kwa mwezi, kuna umeme na maji hivyo mnachangia
mawasiliano yako tafadhariNina vyumba vya kupangisha maeneio ya Mahina..bei elf 30..vyumba vina maji, umeme, tiles, Gypsum, aluminium na nyumba iko barabarani kwa maana daladala zinapita hapo..karibu
Kama unaanza maisha napendekeza anzia maisha Igona kule maisha ni chini sana,chumba ni 25,000 to 35,000 na ni dk 15 to 20 to city center kwa nauli ya 400Galadudu: Natokea Morogoro mjini natarajia nianze kuganga maisha hapo rocky city kwani natarajia kumaliza masomo yangu hivi karibuni, so badala ya kurudi home nataka nikaanze maisha ya kujitegemea na mji pekee naopendelea zaidi ni Mwanza.
Hahaha wewe watu waliisha sahau unafufua uzi leo, yani hitaji la 2015 mpaka leo ndio unalitolea majibu au hukuona tarehe ulijibu tu.Kama unaanza maisha napendekeza anzia maisha Igona kule maisha ni chini sana,chumba ni 25,000 to 35,000 na ni dk 15 to 20 to city center kwa nauli ya 400
Sent using Jamii Forums mobile app