Msaada: Veta gani nzuri inayopatikana jijini Mwanza?

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Kichwa cha habarii chajieleze natafuta chuo cha veta kizuri jijini mwanza

Ambacho kinatoa kozi ya ufundi umeme wa manyumbani pia umeme wa magarii

Pia ambacho vyumba vya kupanga sio bei ghalii na vinapatikana kwa urahisi

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom