Gharama ya vyumba vya kupanga jijini Mwanza

Wee jamaa chumba cha elfu 30 nenda igogo,mabatini,kayenye...au igombe.
 
Me nahitaji chumba self na sebure kiwe na tails na dilisha za aluminium .
Eneo
Igoma
Nation na
Buzuruga

Nina vyumba vya kupangisha maeneio ya Mahina..bei elf 30..vyumba vina maji, umeme, tiles, Gypsum, aluminium na nyumba iko barabarani kwa maana daladala zinapita hapo..karibu
 
Nina vyumba vya kupangisha maeneio ya Mahina..bei elf 30..vyumba vina maji, umeme, tiles, Gypsum, aluminium na nyumba iko barabarani kwa maana daladala zinapita hapo..karibu
mawasiliano yako tafadhari
 
Galadudu: Natokea Morogoro mjini natarajia nianze kuganga maisha hapo rocky city kwani natarajia kumaliza masomo yangu hivi karibuni, so badala ya kurudi home nataka nikaanze maisha ya kujitegemea na mji pekee naopendelea zaidi ni Mwanza.
Kama unaanza maisha napendekeza anzia maisha Igona kule maisha ni chini sana,chumba ni 25,000 to 35,000 na ni dk 15 to 20 to city center kwa nauli ya 400

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza kuna watu wanaishi milimani kabisa, sijui shughuli ya kwenda nyumbani inakuwaje au kushuka kutoka huko milimani hasa wakati wa mvua.
Na inakuwaje wanaojenga huko milimani nyuma, vyoo wanachimaje kwenye mawe humo?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom