stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....
Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?
Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?
Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409
Duuuuh watu wapiga pesa chafu aisee Diamond Mill 100 Astakafir Allauh
Hapa nimeanza kuelewa kwanin Dangote huwa anaipenda CCM kufikia mpk hatua ya kumtukana mzee Lowassa kisa Mil 100 lakin sio makosa yake tamaa zina msumbua ngoja aingie madarakani kama atamkumbuka hata kwa salamuWe unafkiri Ile hashtag ya #HapaKaziTu inakuaje? Wale wafuata mkumbo kisa Diamond akili hakuna
Wakuu hizi hapa chini ni Gharama walizotumia Chama Cha Mapinduzi katika kuwalipa Wasanii wanaozunguka nao katika Fiesta.
Kwanini watumie Gharama kubwa namna hii ya fedha ikiwa..Walimu, Wastaafu ktk jumuiya hawajalipwa fedha zao. Vile vile huduma za kijamii hakuna.
View attachment 299352
Fiesta hii itafilisi nchi
Kumbe ndio maana wote wamekimbilia huko
Na ray kigosi analamba ngapi??
Hadi Christian Bela?
Mbona sijawahi kuona hata akipost yuko kwa show za kijani
Utaambiwa pesa ya Serikali ni tofauti na ya chama na Kikatiba wanaruhusiwa kufanya chochote waonacho ni sahihi katika kujihakikishia "ushindi" kwa kutumia Ruzuku yao.
Hii ndiyo Tanzania, ni zaidi ya uijuavyo.
Fiesta hii itafilisi nchi
Kumbe ndio maana wote wamekimbilia huko
Na ray kigosi analamba ngapi??