Gharama kwa kila kosa

Gharama kwa kila kosa

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,224
Kanuni za dunia tunayoishi sio rahisi kuzielewa na wakati mwingine inachukua muda hasa baada ya kupitia mengi. Sasa nimeelewa ukweli wa kanuni hii "Every mistake has consequences".

Hakuna kosa utakalofanya kwenye maisha yako lisiwe na gharama ya kulipa hata kama utatubu na kusamehewa na mwenyenzi Mungu, gharama ya kosa hilo utalipa kama sio wewe basi ni kizazi chako. Ukiwa katika hali ya ujana epuka yafuatayo;

1. Usioe mwanamke mwenye mtoto
2. Usitoe mimba kwa sababu yoyote
3. Usiende kwa waganga kutafuta tiba au suluhisho la changamoto zako
4. Usitukane wazazi au kumlaumu mzazi kwa makosa yake hata yakiwa ya wazi
5. Usimwingilie mwanamke kinyume na maumbile yake
6. Usitembee na mwanamke wa mtu
7. Usijichore mwili wako
8. Usivute bagi, shisha au sigara yoyote
9. Epuka kufanya ngono hovyo, ngono za hovyo zinaleta gundu na umaskini. Fuatilia wale wote waliokuwa wanajifanya wajauji maisha yao yamefikia wapi. Utapata majibu
Mengine ongezea wewe
 
Naunga mkono hoja

Yaani kama jeshini hakuna bahati mbaya ni labda ulikusudia au umefanya uzembe na yote yanastahiri adhabu
 
Kanuni za dunia tunayoishi sio rahisi kuzielewa na wakati mwingine inachukua muda hasa baada ya kupitia mengi. Sasa nimeelewa ukweli wa kanuni hii "Every mistake has consequences".

Hakuna kosa utakalofanya kwenye maisha yako lisiwe na gharama ya kulipa hata kama utatubu na kusamehewa na mwenyenzi Mungu, gharama ya kosa hilo utalipa kama sio wewe basi ni kizazi chako. Ukiwa katika hali ya ujana epuka yafuatayo;

1. Usioe mwanamke mwenye mtoto
2. Usitoe mimba kwa sababu yoyote
3. Usiende kwa waganga kutafuta tiba au suluhisho la changamoto zako
4. Usitukane wazazi au kumlaumu mzazi kwa makosa yake hata yakiwa ya wazi
5. Usimwingilie mwanamke kinyume na maumbile yake
6. Usitembee na mwanamke wa mtu
7. Usijichore mwili wako
8. Usivute bagi, shisha au sigara yoyote
9. Epuka kufanya ngono hovyo, ngono za hovyo zinaleta gundu na umaskini. Fuatilia wale wote waliokuwa wanajifanya wajauji maisha yao yamefikia wapi. Utapata majibu
Mengine ongezea wewe
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa

Back
Top Bottom