Ghana Wagomea kampuni za simu

Ghana Wagomea kampuni za simu

Mbunge

Senior Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
104
Reaction score
10
BAADA ya kuona kwamba kampuni za simu zinawadanganya wateja wake wananchi wa Ghana wameamua kuttotumia simu zao leo ili makampuni hayo yajirudi.

Simu zote za mkononi leo zinazimwa kwa masaa kadhaa kama adhabu kwa makampuni ya simu za mkononi Ghana ambazo pamoja na kutumia ujanja mbalimbali kuonesha kuwa wanawaletea wateja wake nafuu lakini zimekuwa zikiwanyonya ile mbaya.

Tanzania mpo ?
 
Hiyo ni safi sanaaaa. Ukiwagomea siku moja tu lazima wajirudi.
 
hapa bongo uzalendo huo tunauweza kweli? kama kugoma tu kwa ajili ya mishara yetu tumeshindwa!
 
Back
Top Bottom