Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Source haina kichwa wala miguu, BBC News - Home wamesema ni watu 32. Pls unapotoa taharifa hakikisha source yako ni ya uhakika, tuache mambo ya upuuzi kwenye janga la Taifa.

Usiwe Zezeta Januari mpk Disemba...
Hao BBC walitangaza kuwa waliokufa kwenye maandamano kule Arusha walikuwa 10....
Sasa kuna ukweli wowote hapo?

Hao nao wakurupukaji tu kama Makamba.
 
The gov.must step down.
we are tired of ur absurd staffs.

It wont step down by us writting here! If Those Egyptians were complaining only in Forums, Mubarak would not have gone. We need to act. if anything I will be in the front line. Sijui mnataka tuanzeje? Mwenye wazo jamani!
Hatuwezi kukaa na uongozi umeshindwa kutatua suala la umeme
Hatuwezi kukaa na viongozi mafisadi
Hatuwezi kukaa na viongozi wasio jali uhai wetu (mabomu mbagala na gomz)
Hatuwezi kukaa na viongozi wanaosababisha uchumi kudorora
hatuwezi kukaa na viongozi wanao.....
 
mi nadhani inabidi jeshi nalo lichunguzwe inawezekana pia kukawa na hujuma kwenye mabomu haya. Mbagala, Gongs, kesho wapi?
 


Utashangaa watu wanastuka na hawaamini, coz tumezoea serikali yetu kutupa taarifa za uongo mimi hata sitashangaa ikiwa hiyo idadi itakuwa imefika, inatia uchungu sana. I'm speechless.
 
Kwa tz kuwa mbunge ni kufanikiwa kuishi kwa anasa...............ndiyo maana watu wanatumia mbinu zozote zile zikiwemo kuwaambia wenzao sio raia ili tu washinde.............hata wewe mtu angekuuliza kazi inayolipa zaidi ungesema ubunge na utatamani uwe mbunge ili ukaogelee kwenye ule utajri kwani kuna mtu anapenda kuishi kwa shidas hapa duniani?
 
[QUOTE..namwona bibi vizee zaidi ya watatu wakitembea kama wako darasa la saba na speed kali hakika ni hali tete


unaleta utani tena ndugu wakati hatari wa hatari, hata kinyonga akiona moto hutimua mbio...

RIP majeruhi.
 
nimepata taarifa kwa sms mbili tofauti watu wanahimizwa kuondoka; nilifikili wangeleta vifaru kama Misri watu wahame. ona sasa vikongwe wanavyopata taabu, yote hii kuwa na viongozi vichwa maji; raana ya JK, hebu hayo mawili mazito yakosee njia yakatue pale nyumba nyeupe; taifa libarikiwe
 
Ni kweli ndugu zetu wamekufa huko gongolamboto kwa sababu ya kulipuka mabomu, lakini kwamba waliokufa ni watu 200 ????!!!! ni karibu na uongo zaidi kuliko kuwa kweli.
 
Naomeni mnijuze watu wa Mazizini je hata kwenu milipuko imefika? Milipuko hii imeathiri hadi huko mazizini stand? Nina ndugu zangu huko siwapati hewani msaada jamni!
 
source plse!!! vinginevyo utakuwa unarudia kosa lile lile la waliotoa idadi ya vifo kuwa ni yapata 20 (kwa mujibu wa Pm bungeni leo asubuhi).
 
mi nadhani inabidi jeshi nalo lichunguzwe inawezekana pia kukawa na hujuma kwenye mabomu haya. Mbagala, Gongs, kesho wapi?

Precisely!haiwezekani kila mara tukawa na matukio yanayofanana,ambayo yanasababisha maafa!!
 

Mh!mkuu hiyo itakuwa hatari kubwa sana!!
 
Hivi watu wa child protection mko wapi?? Watoto wametapakaa . Kazi kwenda workshop tu !! Thanx kwa wauguzi, mamedical japo mazngira magumu . Nguvu kazi bdo ni ndogo uwanja wa taifa.


how wish ningekuwepo dar!!ningefika hapo kuwasaidia watoto na walemavu
 
Hivi CCM kama nchi imewashinda si waondoke?
Waondoke kirahisi hivyo!! Mpaka tufe milioni 4 hivi ndio wataona aibu na kuondoka. Hawa sio watu ni sawa na wanyama na wanafikiri haka ni kanchi kao wamepewa na MUNGU.
 
Hivi watu wa child protection mko wapi?? Watoto wametapakaa . Kazi kwenda workshop tu !! Thanx kwa wauguzi, mamedical japo mazngira magumu . Nguvu kazi bdo ni ndogo uwanja wa taifa.
Kweli huu ndio wakati wao wa kuonyesha wanajali, maana hata kuna jamaa yangu mpaka sasa hajui watoto wake wawili wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…