ghafla unaanguka!

ghafla unaanguka!

65518_635670253114063_1785820859_n.jpg
ndio utakapojua kuwa milima haikutani ila binadamu na kiboko hukutana..😱😱

Yawezekana huyo ni game/ park ranger kutokana na alichoshika mkononi na kukimbia kwa kujiamini kitu ambacho kinaonesha llabda wanamwamisha huyo kiboko.
 
Back
Top Bottom