ghafla unaanguka!

ghafla unaanguka!

Hilo toto afu la kufugwa linapenda kampany ya jamaa yeye anajistukia tu.
 
Hilo toto afu la kufugwa linapenda kampany ya jamaa yeye anajistukia tu.
😱😱😱
he he kuna cha kampany hapo..? dude latoa mpk udenda ha ha ha miguu haina gharama..😀
 
Huyu jamaa ukimkurupusha mpaka akaguse maji kwanza ndiyo anarudi kwa vita kamili na huwa ni mzito sana kugeuka akikukimbiza angalia sehemu yenye matuta makubwa huwa havuki kwa sababu ya tumbo lake
 
Hivi unajuwa kiboko hawezi panda ngazi kwenye nyumba zetu za mtaani.....SIYO NGAZI ZA MAGOROFA
 
Hivi unajuwa kiboko hawezi panda ngazi kwenye nyumba zetu za mtaani.....SIYO NGAZI ZA MAGOROFA
duh! kumbe... lkn siku ya kufa nyani miti yote huteleza hapo hakuna cha ngazi and one mistake ten goals!
 
Hivi unajua kuwa kiboko hawezi kuvuka/kuuruka mtaro kutokana na kuwa na miguu mifupi sana, hamna mnyama bwege kumkwepa kirahisi kama huyu
 
😀😀😀😀😀 mtalii wa ndan
 
Hapo ukianguka unaanza kujua umuhimu wa wale komando wa jana kwa nini hawakai msituni
 
Back
Top Bottom