Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
- Thread starter
- #61
Mkoa wa Chato unatupunguzia safari ya kwenda na kurudi ya kilomita 320 tunapotaka kufuata ofisi za kiserikali Bukoba. Chato ni karibu kuliko Bukoba, naomba umwambie hivyo.Kuna swali la msingi kauliza na hujamjibu..
Kauliza hivii..
Faida ya nickel haiwezi kuonekana mpaka mkoa wa chato uanzishwe?
Itakua vyema kama ukimjibu.