Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

kubalini tu mwendazake hayupo tena.
Yule mzilankende uchaguzi wa wabunge aliangukia pua mpaka Mkapa alipokuja kumshika mkono akatenga jimbo ndio kipande kimoja akagombea. Ndio maana hadi leo alikuwa haamini kwenye upinzani utasikia anadai wapinzani walituchelewesha. Na ndio maana aliamini kwenye kutenga maeneo na kuleta ukabila na ukanda
 
1.Hebu tuambie kwanini tuwe na mkoa mpya kwa kumega maeneo kutoka sehemu nyingine?

2. Kama shida ni kupata mkoa mpya kwanini tusianze kuigawanya ile mikoa mikubwa kieneo ie Tabora, Morogoro au Mtwara?

3.kwanini Chato, Je ni kulinda legacy Kama ni kulinda legacy kwanini tusianze na Butiama, Msoga, Lupaso au Mkuranga?
Mazingira na sababu za kuitaka Chato ni tofauti na kuivunja hiyo mikoa mingine.

Bukoba inaendeleza historia na ufahari wa wachache kwa faida yao na sio kwa faida ya waliokuwa wengi.

Ni sawa na Ngara yenye siasa za wahangaza na washubi zinavyoinyima wilaya kukua kiuchumi na kustawi zaidi.

Maendeleo yakitaka kupelekwa Bushubi mizengwe ya kila aina inaanzishwa na eneo linabaki na umaskini wake.
 
Hawa watu ni "mafala" sana. Yani ukiwauliza sababu ya kuunda mkoa mpya wanataja neno Magufuli. Angewaambia sasa wanaume anza kuvaa sidiria hawa wapuuzi wasio na akili wangevaa
Wewe Mhaya roho inakuuma unaandika haya maneno yako, pole sana.
 
Yule mzilankende uchaguzi wa wabunge aliangukia pua mpaka Mkapa alipokuja kumshika mkono akatenga jimbo ndio kipande kimoja akagombea. Ndio maana hadi leo alikuwa haamini kwenye upinzani utasikia anadai wapinzani walituchelewesha. Na ndio maana aliamini kwenye kutenga maeneo na kuleta ukabila na ukanda
Kwani mikoa ya Manyara na Katavi ilianzishwa na Magufuri ?
 
1.Hebu tuambie kwanini tuwe na mkoa mpya kwa kumega maeneo kutoka sehemu nyingine?

2. Kama shida ni kupata mkoa mpya kwanini tusianze kuigawanya ile mikoa mikubwa kieneo ie Tabora, Morogoro au Mtwara?

3.kwanini Chato, Je ni kulinda legacy Kama ni kulinda legacy kwanini tusianze na Butiama, Msoga, Lupaso au Mkuranga?
Nchi hii imejaa wapuuzi sana mkuu. Watu tuliowatanguliza mbele ni hovyo tu. Yaani mikoa mikubwa kabisa imeachwa wanaenda kulazimisha kitu kwa ajili ya kumfurahisha mtu
 
Mazingira na sababu za kuitaka Chato ni tofauti na kuivunja hiyo mikoa mingine.

Bukoba inaendeleza historia na ufahari wa wachache kwa faida yao na sio kwa faida ya waliokuwa wengi.

Ni sawa na Ngara yenye siasa za wahangaza na washubi zinavyoinyima wilaya kukua kiuchumi na kustawi zaidi.

Maendeleo yakitaka kupelekwa Bushubi mizengwe ya kila aina inaanzishwa na eneo linabaki na umaskini wake.
Kwaiyo unafikiri matatizo hayo yapo ngara tu?, Je una uhakika gani kuiamishia Chato utakua umemaliza tatizo?
 
Nchi hii imejaa wapuuzi sana mkuu. Watu tuliowatanguliza mbele ni hovyo tu. Yaani mikoa mikubwa kabisa imeachwa wanaenda kulazimisha kitu kwa ajili ya kumfurahisha mtu
Sasa hivi nchi wameiharibu kweli, kila kitu ni kusifu tu hata kama ni upuuusi
 
Wahaya ni wash....nzi..ingawa ni shemeji zangu..hoja zao zimejaa ikabila..na pia ngara na bihalamuro ni maeneo ambayo wenyeji wa huko wanawaita wa nyamahanga..yani kiufupi wana wadharau sana..kisa sio wahaya.

Hoja kubwa mkoa wa Chato uanze.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tungeanza na Lindi na Morogoro kwanza Kagera mbona eneo lake ni dogo sana?

Kama vipi ichukueni Malinyi ya Morogoro na Liwale ya Lindi muunde Mkoa wa Chato...mbona Reunion ni sehemu ya Ufaransa, it is very possible.

Mulokozi tunajua unaumia sana lakini utazoea tu,Ngara na Biharamuro zinaondoka hivyo kurudi Chato.
 
Umeshawahi kufika Chato? Kama haujawahi fanya upite Mkuu, yenyewe tuu kama yenyewe inahitaji msaada sasa vipi ukiifanya Mkoa?
 
1.Hebu tuambie kwanini tuwe na mkoa mpya kwa kumega maeneo kutoka sehemu nyingine?

2. Kama shida ni kupata mkoa mpya kwanini tusianze kuigawanya ile mikoa mikubwa kieneo ie Tabora, Morogoro au Mtwara?

3.kwanini Chato, Je ni kulinda legacy Kama ni kulinda legacy kwanini tusianze na Butiama, Msoga, Lupaso au Mkuranga?
Wewe ni mjinga Kanda ya ziwa ndiyo ina watu na ndiyo eneo ni kubwa mno hv nyie timu Gaidi mbona kwenu mkoa ni mdogo na ndiyo Siri pia mafanikio yenu lakini mnajifai hamuoni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom