Ghafla siwezi kufanya mapenzi tena

Lagoon

Member
Jul 8, 2013
9
4
Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida.
Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na hapo hapo sikuweze simamisha tena vizuri mpaka sahivi.
Naomba kujua nitafanya nini nirudia hali yangu ya zamani.
 
Mkuu Humu kuna matapeli wengi watakulisha mizizi na majani watapiga hela yako bure
Hiyo ishu nenda hospitali onana na wataalam ili wakusaidie kama kuna tatizo la misuli ya uume au mirija inayopeleka damu kwenye uume imepata matatizo hivyo damu haiendi kama inavyotakiwa. Usidanganywe na wazee wa nguvu za kiume humu hawachelewi kukulisha mavi wakikudanganya kuwa ni dawa.
 
Pole mkuu!! Inawezekana husimamishi kwa sababu ya tatizo halisi au kutokana na hofu iliyojengeka kichwani. Hofu ya hali iliyokutokea kurudi tena.

Nenda hospitali mara moja...na sio vinginevyo.
 
Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida.
Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na hapo hapo sikuweze simamisha tena vizuri mpaka sahivi.
Naomba kujua nitafanya nini nirudia hali yangu ya zamani.
Pole sana mkuu kuna dawa naamini ukitumia itakusaidia sana na kuludisha heshima yako kitandani.
 
Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida.
Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na hapo hapo sikuweze simamisha tena vizuri mpaka sahivi.
Naomba kujua nitafanya nini nirudia hali yangu ya zamani.

Nahisi utakuwa umepigwa dudu la kwa babu kutoka kwa basha mpya wa mkeo ili ushindwe gemu la 6 kwa 6 awe anakula yeye, huku wewe ukiwa sanamu tu. Jaribu kuonana na babu (sangoma) akutizame Zaidi. Pole lakini.
 
Kwa hyo unamshauri aende kwa mungu wa kabili?
 
Mh!!!pole sana shemeji yangu la msingi,usitumia mti shamba kabisa, we nyokea kwa madoctor wa kuna wataalamu wana dill na mambo ya uzazi!!na usione aibu mana ukiona aibu utazidi kuumia,pole sana
 
Back
Top Bottom