gfsonwin kwenye gazeti la udaku

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
2,259
Reaction score
1,657
hamjambo wana JF, natumaini wote mnashehereka 8/8 day salama salimini. nimecheki gazeti la udaku la jana na nimeona picha ya gfsonwin ukurasa wa love life. bahati mbaya siko kazini so siwezi kuiscan na kuiweka. 🙁 🙁. nimeipenda kweli dada uko juu. dada tuambie, una ubia na gazeti la udaku la J4
 
Last edited by a moderator:
Oh usijali, mie mwenyewe nimeiona. ngoja nikusaidie kuibandika.



Alikuwa anamsubiri bwana ake Kaizer kumbe hakujua masikini Kaizer mwenyewe alikuwa busy anawasiliana na Erotica.

 
Last edited by a moderator:
mamito,
sasa si bado amelala..
akiamka tu hapo ndo ntajua niko "strong kiasi gani' haahahahahah
lakini kuna watu wamebarikiwa eti loohhhh "nimegundua hili baada ya kuona majamaa wa Olympic" :redface::redface::redface:

kumbe umeona asb nimechek marudio,ivi wanasize zao hawa watu dahhh inatishia aman
 
Blaine, unafahamu Malima alikutwa na nini? Sasa kwanini unataka kumzushia mama yangu gfsonwin mambo ya ajabu? ?

Sasa namchukua mzee wangu Kaizer na mashine kama aliyekutwa nayo Malima na nakuapia kabla wiki hii haijaisha

utajikuta Mabwepande. Chezea mama yangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…