Gevey card

Habarini za muda huu,nahitaji gevey card kwa ajili ya i phone 7+ yenye carrier lock,aliyenayo tuwasiliane au anaejua sehemu ninapoweza kupata tuwasiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uko dar nenda kariakoo au sapna utapata kwa 15000 mpaka 35000 kutokana a version yake. Kwanini uistoe hiyo lock mkuu tu uwe free maana gevey ina limitations zake kama USSD problem zamani ilikuwa inakuwa solved kwa keweka USSD repo sasa siku hizi kujailbreak ios ni shida
 
mkuu kutoa lock bado sijapata sehemu ya kuitoa,any clue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia hizo website za ku unlock?hao ni scammers hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaanza kutumia wala ku unlock iphone leo. Nimeanza kutumia iphone toka mwka 2012 ndiyo maana najua zinakuwa unlocked wapi ni nani ni scammers na ni nani si scammers maana nimeiunlock simu zaidi ya 8.
Gevey nimeitumia kwenye iphone 5s na iphone 6plain ina weaknesses zake walau zilikuwa zinaweza kuwa fixed kirahs wakati bado ios ilikuwa easily jailbroken ukaweka repos
 
Nakutumia mkuu inbox mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom