Nafasi za kazi ya ualimu

Nafasi za kazi ya ualimu

thanks again and have you

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2023
Posts
230
Reaction score
426
Habari ndugu,

Nahitaji mwalimu wa Mathematics Class V, VI and VII.
Pia nahitaji mwalimu wa Class one jinsia ya kike
Kama yupo tuwasiliane

ADDRESS
Physical: Banana-Kitunda Dar es salaam
Postal: 14257
Contact: +255 672 494 177

NB: Ninashukuru sana kwa ushirikiano wenu nyote mtakao share Tangazo hili kwa ndugu na jamaa zenu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Ila mie huwa najiuliza vigezo vya anayewetakiwa vinawekwa hadharani Ila vya mwajiri kuwa atatoa Nini in return ama katika iyo transaction inabakia Siri,why iwe Siri, what's so special kuficha,Mana uwezo wa mwajiri ukionekana Ina Mana wanaomba ambao wanawezana na mwajiri,Kama vigezo vya tangazo la anayehitajiwa.

Samahani sio kuwa Ni wewe mtoa tangazo Ila Niko in general ,Ila kazi mfano za wazungu wanaweka kila watu wazi ama sie weusi Basi kila kitu kinakuwa cheusi kinafichwa
 
CHOKO WEWE! acha kufatafata watu PM usiowajua na kuwaletea vitisho vya kisenge... utakuja upakwe vaseline ufirwe mchana kweupe na urekodiwe.

UMELITAFUTA BIFU!
 
Ila mie huwa najiuliza vigezo vya anayewetakiwa vinawekwa hadharani Ila vya mwajiri kuwa atatoa Nini in return ama katika iyo transaction inabakia Siri,why iwe Siri, what's so special kuficha,Mana uwezo wa mwajiri ukionekana Ina Mana wanaomba ambao wanawezana na mwajiri,Kama vigezo vya tangazo la anayehitajiwa.

Samahani sio kuwa Ni wewe mtoa tangazo Ila Niko in general ,Ila kazi mfano za wazungu wanaweka kila watu wazi ama sie weusi Basi kila kitu kinakuwa cheusi kinafichwa
Mshahara wa wachezaji ulaya upo waz unajulikana, wa presida, ila wakwetu sasa
 
Ila mie huwa najiuliza vigezo vya anayewetakiwa vinawekwa hadharani Ila vya mwajiri kuwa atatoa Nini in return ama katika iyo transaction inabakia Siri,why iwe Siri, what's so special kuficha,Mana uwezo wa mwajiri ukionekana Ina Mana wanaomba ambao wanawezana na mwajiri,Kama vigezo vya tangazo la anayehitajiwa.

Samahani sio kuwa Ni wewe mtoa tangazo Ila Niko in general ,Ila kazi mfano za wazungu wanaweka kila watu wazi ama sie weusi Basi kila kitu kinakuwa cheusi kinafichwa

Wazungu wapo hivyo sababu wamekulia utamaduni huo

Waafrica tupo hivi sababu tumekulia utamaduni wa kuficha ficha. Serikali yenyewe ikiajiri haitaji mashahara ni bei gani wazi wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom