Geti la Ikulu

Geti la Ikulu

White House raia wanaruhusiwa kusogea hadi kwenye uzio na kuna wakati wanafanya tour baada ya kupata security clearance.
Taratibu zikoje...na mimi nikatalii just kidogo
 
No chance for saying hi. at working time. Not only at State House but in all working places. Working hours it is time for work.
 
Nakumbuka siku moja niliingia matatani na jamaa wa suti nyeusi wale nakuaga kule nyuma ya ikulu beach kule wanao jifanyaga nao eti wanapanga upepo na hata mashati unaweza kuta wamevua.

Alikuja jamaa yangu kutoka mkoa hivyo nikaamua nimpeleke akaone bwana mkubwa wa wakati huo NKAPA anapoishi. Sasa kwa uzoefu wangu wa ule ukuta unaozunguka nyumba nyeupe kila baada ya mita tano au sita Kuna nguzo ya taa pamoja na vioo/camera ambavyo kazi yake wote twaijua.

Wakati tunapita kule upande wa beach nikawa namuelezea mgeni wangu juu ya hivyo vioo viliyo uzunguka ule ukuta wa nyumba nyeupe.katika hali isiyotarajiwa nilikuta mtu ananishika bega na kuanza nihoji vioo gani hivyo navyo zungumzia. Nilifikiria anatania tuu kumbe jamaa alikua kazini hasaaa.

Ashukuliwe mungu sikua na nia mbaya na Ile nyumba nyeupe, japo ilikua mbinde sana hadi kuwa huru.

Zama hizi za jiwe sio busara kabisa unapopita mitaa Ile kujaribu kukodolea macho eneo lile.

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Naamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi...ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma...na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...lakini kuna kakitambo kidogo kutoka getini mpaka kwenye ofisi za raisi zilipo...

Lakini cha kushangaza...HAKUNA CONCENTRATION YA WATU ENEO LILE...WALA MUONEKANO WA WATU WAKIINGIA NA KUTOKA IKULU KUPATA HUDUMA MBALI MBALI ZA UMMA KAMA ZILIVYO OFISI MBALIMBALI ZA UMMA...SANA SANA NI MAGARI TU YA KIFAHARI YANAINGIA NA KUTOKA NA WATU WENYE SUTI SUTI TU NA TINTED...NA VING'ORA...

KWANINI LABDA...?
HEBU NIFUNGUENI MACHO...SIKU MOJA NILITAKA NIENDE NIKAMUONE MKULU NIKAMPE HATA HAI...nikapige hata selfie...kama zilivyo garden nyingine...maana pale ikulu kuna garden safi sanaa...
Ungeenda tu maana majaama yange kuongelesha kihutu nakitusi sijui ungejibu nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M kuna siku nilikua nafatwa na wale tausi mbele ya ofisi ya makamu wa raisi dah makachero wakanibeba wakanisach begi langu wakakuta dawa moja ya ulcers ya kienyeji wakaniachilia jamaa wako peace sana japo kiswahili yao ya tabu
 
Aisee ni kweli...
 
Siku moja nilikuwa naelekea pale MWALIM NYERERE INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE...SIKUJUA KAMA KUNA EVENT PALE RAIS ANAENDA...

SASA MIMI NIKAWA NAPITA ILE NJIA KAMA NATOKEA JIMKHANA SIJUI KAMA SIO EXIM BANK(HQ)...

SASA SIWAKAWEKA BARRIER KWENYE KONA YA KUINGIA WIZARA MALIASILI NA UTALII...JAMAA MMOJA MWENYE SUTI NYEUSI AKANIFUATA...

USTADH UNAENDA WAPI BHANAH...NIKAMWAMBIA NAENDA WAPI...NILIJUA TU LABDA NI SEHEMU YA ULINZI WA ENEO LILE LA KIMATAIFA LILIVYO KILA SIKU...AKANIRUHUSU KUFIKA PALE...NIKAONA NJIA ZOTE ZIMEFUNGWA...KASORO MOJA TU...NDO TUNAPITA WATU...NIKAZIANGALIA BEJI ZAO ZINAFANANA...WAKANIULIZA KITAMBULISHO...UNAENDA WAPI KUFANYA NINI?

KITAMBULISHO SIKUWA NACHO...WAKANIKAZIA...TENA ALINIKATA JICHO AKANIAMBIA NENDA KAFUATE KITAMBULISHO URUDI...TENA ALIKUWA MKALI ALIYE SERIOUS...

NIKADHANI NI ULINZI WA KAWAIDA KILA SIKU...BAADAE NIKAKUMBUKA ZILE BEJI ZAO...NIKAPATA AKILI KUWA NI USALAMA NA RAIS ALIKUWA ANAFIKA MUDA SI MREFU...
 
huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...

Kuna jamaa wembamba wakakamavu wapo pale wana sura za chuma wanavaa kofia zina kitu chekundu kama upanga uliopo kichwani kwa jogoo
 
M kuna siku nilikua nafatwa na wale tausi mbele ya ofisi ya makamu wa raisi dah makachero wakanibeba wakanisach begi langu wakakuta dawa moja ya ulcers ya kienyeji wakaniachilia jamaa wako peace sana japo kiswahili yao ya tabu
Kiswahili yao ni tabu kivipi Mkuu?
 
Naamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi...ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma...na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...lakini kuna kakitambo kidogo kutoka getini mpaka kwenye ofisi za raisi zilipo...

Lakini cha kushangaza...HAKUNA CONCENTRATION YA WATU ENEO LILE...WALA MUONEKANO WA WATU WAKIINGIA NA KUTOKA IKULU KUPATA HUDUMA MBALI MBALI ZA UMMA KAMA ZILIVYO OFISI MBALIMBALI ZA UMMA...SANA SANA NI MAGARI TU YA KIFAHARI YANAINGIA NA KUTOKA NA WATU WENYE SUTI SUTI TU NA TINTED...NA VING'ORA...

KWANINI LABDA...?
HEBU NIFUNGUENI MACHO...SIKU MOJA NILITAKA NIENDE NIKAMUONE MKULU NIKAMPE HATA HAI...nikapige hata selfie...kama zilivyo garden nyingine...maana pale ikulu kuna garden safi sanaa...
Huduma gani kwa umma zinapatikana pale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa angu mmoja katoka Shinyanga kaja Udsm chuo, basi wikiendi moja mida ya jioni hivi kazamia Barabara ya Ikulu, kidogo mdada mwenye suti katokea, kuulizwa anaenda wapi akataka kupanick, Mara wakatokea njemba wawili pembeni, kilichofatia ilikua ni mazoezi ya kutosha tu, hakuwahi kurudi tena..
 
Sitosahau hii, siku moja natokea zangu jengo lile utumishi naenda zangu hospital ya Aga khan ilikuwa siku ya J2 mida ya saa kumi hivi.
Nikapita kule nyuma ya ikulu, sasa wakati napita nikawa napita upande wa katikat jamaa mmoja akanisimamisha na kuniambia nisipite pale nikamjibu mbona wale wanapita akaniacha nikaendelea kufika mbele nikaitwa na wale waliovaa za mabaka baka, nikaanza kupigishwa push up ila siku pekee yangu niliyekuwa nikipewa adhabu tulikuwa kama sita hivi.
Bahati nzuri akatokea mwana tunayefahamina naye katika wale walio mabaka baka ndo wakaniacha jioni yake baada ya kuonana na jamaa aliyenitetea kwa kwa ushauri alionipa sikutamani kupita njia ile tena na mpka leo sijarudia kupita njia ile japo nilikuwa napenda sana kuitumia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
White house marekani watu wanazama ndani , kuna historia mule wanapiga maselfie katika harakati za hapa na pale MARA TRUMP huyu hapa anapiga selfie na makids 😂😂😂 magogoni utasubiri boss.
Mastudent wanakuwa na tour kabisa ya kwenda kwa trump
Mkuu usidhani kila kitu ni lazima kifanane na kingine, wale ni wamarekani sisi ni watanzania, kiufupi hata utaratibu wa nyumbani kwako hauwezi kufanana na utaratibu wa nyumba nyingine, ngoja nikupe kisa kimoja, mimi ni mzaliwa wa nyanda za juu kusini lakini katika kuhangaikia maisha nikajikuta nimedondokea Tanga maeneo ya Korogwe.

Sasa basi mara yangu ya kwanza kuishi hapo mahala nilishangaa vitu vingi sana, mfano kuna miiko ya kwetu ambayo huku kwa wenzetu iko tofauti, kule kwetu mama mkwe hawezi kuingia chumbani kwenu, lakini wenzetu anaruhusiwa kuingia na kukaa kitandani kwenu hata kulala kama mkwewe haupo!!

Sasa vitu kama hivyo sisi kwetu haviruhusiwi kabisa ni mwiko, ndiyo maana nikasema siyo kila kitu lazima kifanane na kingine.
 
Back
Top Bottom