queen kan pole ndugu,,, mungu wetu mwenye nguvu akusimamie na uweze kupona haraka!!!!
my deep prayers are with you....get well the soonest...!
pole bestito maswahiba gani yamekupata honey? Yaani baada ya haruisi imekuwa hivi
sasa kuhusu fungate inakuwaje tena? Pole bestito
we mgonjwa umeniacha kitandani,umekimbilia jf eeh?
Pole sana darling
bestito usiyakuze mambo uenda alikuwa anaumwa ndani kwa ndani ndipo imetokelezea nje hii kitu :mimba:
jamani...nakuja mume wangu, afu tuje tupange siku ya fungate letu....nakupenda mume wangu
asante kwa maombi yenu nimepata nafuu sasa
jambo weye kikolo...pole nu bhubhine!!
pole sana na upone haraka
hahahahahaa.........namba hatari kabisa hizo