Get well soon Nameless girl

Get well soon Nameless girl

Wanafamilia wenzangu wa JF, Mkuu Himidini na wengine woteee asanteni sana sana sana kwa maombi na kunitakia afya njema, nimeshatoka hospitali na ninaendelea vizuri. Niliwamiss saaaana ila nilikua nashindwa kubonya bonya kamchina kangu.
Pamoja sana wana Jf.
 
Back
Top Bottom