asante mpendwaPole sana shansarie
sio kuogopa tu anakimbia kabisaGet well soon ,Jaman kiwatengu anapenda hadi shetani anaogopa
asante mpenzi wangumkuu napenda kweli kweli!!
thankx sana wangu mzima weweGet well soon dear
Amen barikiwa sana kwa maombi yakougua pole dear mungu akupe wepesi katika hili
nimepokea kwa moyo mmoja naamini nitaponaPole mpendwa Mungu akutie nguvu.
ajira inayolipa ukipata anayekupendakupenda nako ni ajira noja nitajiajiri
acha tu kaka yangu nasikilizaga mziki sauti ya juu.sijui ndo umeniaribu sikio yaani ngoma ina pulsate kama kuna usaa linauma hadi shingo
asante sanapole shansa! punguza noise pollutions bibie! sikio ni kiungo (sio cha mboga! lol) muhimu sana katika maisha!
myself nikiingia saluni kunyolewa nikakuta sauti isiyo rafiki kwa masikio yangu, lazima niibue kaugomvi, lol!
hata kama ni movie naangalia kwenye pc basi volume huwa 15% tu!
ugua pole....
nani kakuitaPeleka chit chat
chukua like hiyooMgonjwa anaendeleaje? Najua atakuwa kaimisi JF ile mby. chondebchonde mwambie atulie apone asije akaanza kugonga like kwenye hii thread wkt bado anagonjweka.
Get well soon
inanifariji sana dada asante