miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Najitahid kupotezea humu maumivu ila kuna wakati homa inakuwa juuu sana. Nakosa pumzi na miguuu inalegea.. but leo naendelea vizuri kidogo.loh, malaria haikubaliki jamani, miss chagga si nimemwona hum jana tu, get well soon mamii!
Pole miss chagga, nakuja na mtori
Asante sanapole miss chagga
Thank uget well soon
Toka huko unaumbea we ... malaria wakati mbu wengi hadi mchanaPole tele. ilaaa. Malaria inasumbua? Au yeye anaisumbua malaria au anaisingizia malaria? Hujaona matangazo ya malaria free?
Ndiyo malaria ila hata mi siumwi mara kwa mara sijui hii nimeitoa wapi?Malaria?
Asante kakakaaaaaUgua pole Kadadaa..
Thank u sana
Get well soon miss chagga my prayers are with u today n always
Hata siwezi kula tumbo limeshiba tokea juzi.... leo nitaweza nahisi
Inavutia kuona mwenyewe kang'aa anga hizi lakini kasahau kusema anaugua.
Na kutumia Mjumbe kuwakilisha. how sweeet!
Sio ishu,
Mjumbe,
Mwambie tunamuombea afya njema.
Duh pole sana Mungu akuponye
Akapime na vile vipimo vikubwa maana amezidi kuchepuka.
Mmmh miss chaga pole mwaya!!!
naona anakuonea bana,kwanza style yako na ms chaga ni tofauti sana.
Jamani wana mmu memba mwenzetu miss chagga anaumwa malaria inamsumbua sana maombi yako muhimu
duh?!!,hili janga kumbe,muwe mnajichunga sana jaman,ooho.
Ndo maana mi sipendi kuendekeza nanilii na nko fit nakata hata miaka 10 bila maralie.
Net huna?
mhh...!!nilikua natania tu bana.hiyo kwenye bold ni nini?..net ninayo na bado naumwa...